Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Unajua ni heri asiyekusaidia chochote kuliko ambaye hata chochote ulichonacho anakivuruga!! Hii sheria ya 25% ni disaster thanks kwa wenye miaka mitano kustaafu PSSSF nmesikia haiwahusu.
 
huyu huyu membe wapinzani walisema ni fisadi leo wanamshika mkono same as lowasa
kwa style hii upinzani utasubiri sana maana ni vigeu geu
Magufuli kasema mtu safi lowasa siku ya uzinduzi wa maktaba taasisi ya ikulu imesema hivyo wewe ni nani wa kupinga?
 
Ndugu zangu, huyu anayezungumzwa na kuandikwa kila chochoro, Hana jipya, wala hatakuwa na jipya.
Kukaa na kupoteza rasimali muda, huku ukimpigia "Promo za Kipuuzi" mtu ambaye hatakusaidia kwa lolote, huo nao ni upuuzi.

Ndugu zangu, huu ni Msimu wa "Maembe" Fanyeni biashara ya "Maembe"
Huyo "Membe" hatatusaidia chochote.

Sana sana atatuletea "Mende"

Asanteni, Ngoja nimpikie mume wangu kipenzi chakula cha lala salama.
Kakojoe ukalale
 
Zwazwa wewe
Hii inatokana na kudumisha kwanza katiba ya chama haikatazi kila mwanachama ana haki kuomba chama kumteua kugombea nafasi mbali mbali za kiserikali kama udiwani,ubunge,urais nk


Lakini pia kumuunga mkono mwenyekiti wetu Wa chama Taifa ambae anataka ccm mpya kwa maana kuondokana na utamadumi Wa kuminya demokrasia ndani ya ccm uliokuwa unafanywa na wenyeviti Wa ccm waliopita

Zaidi ya hapo ni kutaka kuleta ccm yenye demokrasia kwa kila mwanachama wake lakini pia kuwaonyesha wapinzani kuwa ccm kunademokrasia ya kweli

Maana lipumba anagombea peke yake huko cuf,maalim seif halikadhalika anagombea peke yake na huko chadema ndio hakusomiki kabisa hivyo ni wakati Wa ccm mpya kama tunavyo inadi

Lakini pia kama ambavyo viongozi wetu wakitaifa wanavyo nadi kwa wanaccm kuwa sasa ni ccm mpya

Ahsante

Mudhihiri Achimwene

Mjumbe Wa kamati ya ccm mkoa Wa Lindi

Kwaniaba ya wanaccm Wa mkoa Wa Lindi
 
Huyu aliopo mgonjwa wa akili msaidieni kabla nchi haijafyekelewa mbali
 
Unajua ni heri asiyekusaidia chochote kuliko ambaye hata chochote ulichonacho anakivuruga!! Hii sheria ya 25% ni disaster thanks kwa wenye miaka mitano kustaafu PSSSF nmesikia haiwahusu.
Kha!
Kwahiyo huyo "Maembe" ndiye atakurudishia hiyo Asilimia?
Tuacheni ujinga ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom