Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Umri umekwenda muache apumzike mzee RuksaTunamtaka mzee mwinyi arudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri umekwenda muache apumzike mzee RuksaTunamtaka mzee mwinyi arudi
Tunataka tucheze na babu mshua mkali kinomaUmri umekwenda muache apumzike mzee Ruksa
Kwa kutazama ushirikiano walionao watu wa mikoa yote ya kushi kama ilivyo desturi yao ya kuungana kwenye mambo muhimu kama walivyo ndugu zetu wa mikoa ya Mwanza,Shinyanga na Geita.
Huyu ndugu anaungwa mkono na ndugu zake wote toka mikoa ya kusini, tuliona wakianza wabunge wao kuungana pamoja kwenye suala la korosho. Hata hivyo wabunge hao wote ndio maswahiba zake toka akiwa mbunge kwenye jimbo la Mtama.
Hiyo ni nguvu ya wananchi wa mikoa ya kusini, bado wafuasi na wapenzi wa siasa zake toka mikoa mbali mbali nchini. Wengi tunahisi kua hili jambo ni gumu lakini tukumbuke huyu ndugu baada ya kuangushwa 2015, alianza kushughulika madhaifu yake muda huo huo.
Kazi aliyonayo sasahivi ni kuona namna gani anapenya ndani ya chama chake na ndio mkakati mkubwa uliopo hivi sasa.
Ana haki kama raia na sisi tunampa support. Hakuna aliyepima IQ ya Magufuli na Membe hata awe kilaza ni chaguo letu.Membe ni ndoto ya mchana kuwa Rais wa Tanzania. Ni bora nimpitie Kampeni Magufuli abaki katika Urais hata miaka 20 zaidi lakini si mtu kama membe.
Huyu mnamgombanisha bure na chama. Pia mnatudharau sisi wenye akili.kampeni hii ime fail mapema sana.na wapinzani wanapoteza credibility kumshabikia membe badala ya kutafuta mtu wao sahihi.
Membe ni kilaza mwingine kama kikwete ila ni katili zaidi na mwenye chuki.ktk siasa ni kilaza tu.
Nimeipenda hoja yako.
1. CCM ina utaratibu wake wa ndani kuwa rais aliyepo haruhusiwi kupingwa kabla hajakamilisha kipindi chake cha miaka 10, hivyo hakuna mwanachama yoyote anaruhusiwa kujaza fomu. Fomu hazitolewi.
2. Hata ingekuwa rukhsa watu wa Kusini have never been a determinant ya urais wa nchi hii kwa sababu they are too poor to make informed decisions.
Rejea
Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?! - JamiiForums
Licha ya CCM kuwa chanzo cha umasikini, ujinga, rushwa na ufisadi, kwanini CCM bado huwa inashinda chaguzi mbalimbali? - JamiiForums
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! - JamiiForums
P
Ana haki kama raia na sisi tunampa support. Hakuna aliyepima IQ ya Magufuli na Membe hata awe kilaza ni chaguo letu.
Chama dola huwezi ukakishinda kwenye sanduku la kura, kamuulize E.L alizani mchezo ushindi saa 4, tuache tu hiki chama labda kipasuke chenyeweKwa kutazama ushirikiano walionao watu wa mikoa yote ya kushi kama ilivyo desturi yao ya kuungana kwenye mambo muhimu kama walivyo ndugu zetu wa mikoa ya Mwanza,Shinyanga na Geita.
Huyu ndugu anaungwa mkono na ndugu zake wote toka mikoa ya kusini, tuliona wakianza wabunge wao kuungana pamoja kwenye suala la korosho. Hata hivyo wabunge hao wote ndio maswahiba zake toka akiwa mbunge kwenye jimbo la Mtama.
Hiyo ni nguvu ya wananchi wa mikoa ya kusini, bado wafuasi na wapenzi wa siasa zake toka mikoa mbali mbali nchini. Wengi tunahisi kua hili jambo ni gumu lakini tukumbuke huyu ndugu baada ya kuangushwa 2015, alianza kushughulika madhaifu yake muda huo huo.
Kazi aliyonayo sasahivi ni kuona namna gani anapenya ndani ya chama chake na ndio mkakati mkubwa uliopo hivi sasa.
Kerere !Hii hali ya uchumi inafanya watu wawe machizi.maana mleta uzi hajitambui na wachangiaji wengi hawajitambui.kumuondoa rais yeyote madarakani munaota kama vile kwenda chooni kunya tu? Endeleeni kupiga kerere sisi wengine watazamaji! Mtu hata jimbo la mtama hajui lipo mkoa gani! Alafu analeta stori za vijiweni sehemu kama hii!
Hii hali ya uchumi inafanya watu wawe machizi.maana mleta uzi hajitambui na wachangiaji wengi hawajitambui.kumuondoa rais yeyote madarakani munaota kama vile kwenda chooni kunya tu? Endeleeni kupiga kerere sisi wengine watazamaji! Mtu hata jimbo la mtama hajui lipo mkoa gani! Alafu analeta stori za vijiweni sehemu kama hii!
Sio hawana maamuzi, they are not determinant and they'll never be.Membe ndio Tumaini,
Eti watu wa kusini hawana maamuzi! Hoja ya kitoto sana
Cc Paskali