Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

Wewe inaonyesha ni mbumbu wa katiba hii ni awamu ya sita kwa hiyo 2025 CCM anachukua form mtu mmoja tu rais aliyepo madarakani mtifuano utakuwa mwaka 2030. Soma katiba zote mbili ya CCM na ya jamhuri ya muungano. Mama hatoki mpaka awamu yake ya miaka 10 iishe
Mama alishapiga mitano yake ya mwanzo akiwa na Jiwe. Sasa anamalizia awamu ya pili alioachiwa na Jiwe. Subiri siku chache zijazo utaamini maneno yangu. Weka kumbukumbu.
 
CCM wama mpango wa kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa... kwamba wanataka kubadili sheria ili kuwaondoka wakurugenzi wa Halmashauri kuwa wasimamizi wakuu wa uchaguzi kwenye majimbo, lakini wanaacha kila kitu intact...yaani Mwenyekiti wa tume na Mkurugenzi wake wabakie kuchaguliwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye na yeye ni mgombea. akili gani hiyooo
 
Kuna maneno Samia aliyatoa wakati anahutubia juzi alipopewa taarifa ya Tume ya uchaguzi pamoja na kuwasifia; akasema, "yeye na wagombea wenzake kwa sasa watulie wafanye kazi muda wa kugombea bado".

Mwanzo nilidhani Samia hatagombea, hasa kutokana na body language yake kuonekana hawezi kuendana na kasi ya mamlaka aliyonayo, pia incompetence aliyonayo upstairs, lakini kwa kauli yake hiyo, imenifanya nianze kubadili mtazamo wangu taratibu, madaraka matamu.
 
Wewe ni mbumbu hata wa katiba pumbafu wee, Urais CCM mtifuano utakuwa 2030, 2025 CCM anagombea huyuyhuyu Rais wa awamu ya sita
Wewe inaonyesha ni mbumbu wa katiba hii ni awamu ya sita kwa hiyo 2025 CCM anachukua form mtu mmoja tu rais aliyepo madarakani mtifuano utakuwa mwaka 2030. Soma katiba zote mbili ya CCM na ya jamhuri ya muungano. Mama hatoki mpaka awamu yake ya miaka 10 iishe
Katiba 2[emoji16][emoji16][emoji16].. Hebu ziweke hapa wote tuzisome kisha nione aibu mimi

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kila dalili ndani ya chama mfumo dume umetamalaki na una mizizi mirefu sana... Kuna kundi kubwa huko haliamini katika uwezo wa mwanamke kushika nafasi kuu kwenye utawala/uongozi wa nchi .. Wengine ni kutokana na tamaduni mila na desturi zao..Na wengine ni kutokana na unyanyapaa tu na silika za mfumodume zilizojengeka miongoni wao.. Ni kati yao hawa wote tayari wanapiga jalamba kuelekea 2025..

Hakuna anayetaka kuharibu lakini kila mmoja anaomba mwenzake aharibikiwe
Kila mmoja ana timu zake zinazodukua na kutafuta taarifa za wengine...Kila mmoja ana wapambe wake, wapiga filimbi wake, chawa wake nknk.. Ni mwendo wa kutafutana kimya kimya!

Vinara front liners au front contenders ni wale wale vijana wetu ndani ya chama wanaotaka kuwapiga chini wazee
Waziri wa fedha
Aliyewahi kuwa waziri wa mazingira
Aliyewahi kuwa waziri wa afya na utalii pia
Kuna pia yule waziri mwenye asili mbili
Na wengineo

Wote wanajiweka vizuri kielimu.. Tayari wawili wana PhD... Wote kwa nyakati tofauti walipiga pesa ndefu za chama na serikali pia... Wanafahamiana vizuri tu nani alipata ngapi kwenye nini..wote wana miradi mingi na wanaingiza vipato vya kutosha sana

Wote wana ushindani mkubwa sana.. Wanataka kuoneshana ubabe wao kwa wao...Huyu waziri wa sasa wa kibubu amepata pa kupigia kiulaiiini sana...na ni wazi wenzake wanaona gere kupitiliza..lakini naye hana hakika kama atadumu kwenye hiyo nafasi mpaka 2025..kwahiyo sasa ni mwendo wa chukua chako mapemaaa

Common sharing iliyopo kati ya wote hawa ni moja...hawataki katiba mpya...wanajua hicho ni kitanzi cha ndoto zao...! Hi yo basi tutarajie drama za kila aina
Drama za tozo na miamala
Drama za wapingao chanjo
Drama za bidhaa kupanda bei
Drama za usalama nknk

Vitu vidogo vidogo vitakuzwa na kuhakikisha vinabaki midomoni mwa watu kwa muda mrefu...Mama atakimbizwa kimbizwa sana ili wenye mipango yao wajipange vema...

Ni mchakamchaka kuelekea 2025[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]
Bashe yumo ndani?
 
Samia hatakua na mpinzani ndani ya chama 2025 mark my words….

Mchezo wa Samia kukaa hapo alipo ulisukwa kwa ustadi mkubwa sana…

Ilikua either Samia, Asha rose au Mary Nagu….2015

Trust me Samia is there until the mission accomplished!!

Hii nchi Boys2men wanazichezea siasa zake kwa akili ya juu sana!
Kwahiyo already Planned?
 
Kuna maneno Samia aliyatoa wakati anahutubia juzi alipopewa taarifa ya Tume ya uchaguzi pamoja na kuwasifia; akasema, "yeye na wagombea wenzake kwa sasa watulie wafanye kazi muda wa kugombea bado".

Mwanzo nilidhani Samia hatagombea, hasa kutokana na body language yake kuonekana hawezi kuendana na kasi ya mamlaka aliyonayo, pia incompetence aliyonayo upstairs, lakini kwa kauli yake hiyo, imenifanya nianze kubadili mtazamo wangu taratibu, madaraka matamu.
Kile kiti kina raha, Museveni atafia juu ya kiti kile. Maana yake ni kuwa hakuna anaetaka kimtoke kirahisi.
 
Samia hatakua na mpinzani ndani ya chama 2025 mark my words….

Mchezo wa Samia kukaa hapo alipo ulisukwa kwa ustadi mkubwa sana…

Ilikua either Samia, Asha rose au Mary Nagu….2015

Trust me Samia is there until the mission accomplished!!

Hii nchi Boys2men wanazichezea siasa zake kwa akili ya juu sana!
Wanapanga na wale wanapanga vile vile
 
Kuna kila dalili ndani ya chama mfumo dume umetamalaki na una mizizi mirefu sana... Kuna kundi kubwa huko haliamini katika uwezo wa mwanamke kushika nafasi kuu kwenye utawala/uongozi wa nchi .. Wengine ni kutokana na tamaduni mila na desturi zao..Na wengine ni kutokana na unyanyapaa tu na silika za mfumodume zilizojengeka miongoni wao.. Ni kati yao hawa wote tayari wanapiga jalamba kuelekea 2025..

Hakuna anayetaka kuharibu lakini kila mmoja anaomba mwenzake aharibikiwe
Kila mmoja ana timu zake zinazodukua na kutafuta taarifa za wengine...Kila mmoja ana wapambe wake, wapiga filimbi wake, chawa wake nknk.. Ni mwendo wa kutafutana kimya kimya!

Vinara front liners au front contenders ni wale wale vijana wetu ndani ya chama wanaotaka kuwapiga chini wazee
Waziri wa fedha
Aliyewahi kuwa waziri wa mazingira
Aliyewahi kuwa waziri wa afya na utalii pia
Kuna pia yule waziri mwenye asili mbili
Na wengineo

Wote wanajiweka vizuri kielimu.. Tayari wawili wana PhD... Wote kwa nyakati tofauti walipiga pesa ndefu za chama na serikali pia... Wanafahamiana vizuri tu nani alipata ngapi kwenye nini..wote wana miradi mingi na wanaingiza vipato vya kutosha sana

Wote wana ushindani mkubwa sana.. Wanataka kuoneshana ubabe wao kwa wao...Huyu waziri wa sasa wa kibubu amepata pa kupigia kiulaiiini sana...na ni wazi wenzake wanaona gere kupitiliza..lakini naye hana hakika kama atadumu kwenye hiyo nafasi mpaka 2025..kwahiyo sasa ni mwendo wa chukua chako mapemaaa

Common sharing iliyopo kati ya wote hawa ni moja...hawataki katiba mpya...wanajua hicho ni kitanzi cha ndoto zao...! Hi yo basi tutarajie drama za kila aina
Drama za tozo na miamala
Drama za wapingao chanjo
Drama za bidhaa kupanda bei
Drama za usalama nknk

Vitu vidogo vidogo vitakuzwa na kuhakikisha vinabaki midomoni mwa watu kwa muda mrefu...Mama atakimbizwa kimbizwa sana ili wenye mipango yao wajipange vema...

Ni mchakamchaka kuelekea 2025[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]
Hawataweza ,Rais ni mmja nae ni SSH
 
CCM wama mpango wa kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa... kwamba wanataka kubadili sheria ili kuwaondoka wakurugenzi wa Halmashauri kuwa wasimamizi wakuu wa uchaguzi kwenye majimbo, lakini wanaacha kila kitu intact...yaani Mwenyekiti wa tume na Mkurugenzi wake wabakie kuchaguliwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye na yeye ni mgombea. akili gani hiyooo
[emoji16][emoji16] just imagine m/kiti wa CCM ndo anateua hadi jaji mkuu!,,:hii akili siku upinzani wakiweza kuibadilisha watachukua dola,,
 
Back
Top Bottom