Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
CCM uchaguzi wa Rais ni 2030
CHADEMA pambaneni na hali zenu!
Mkubwa, toa “CHADEMA” weka “Watanzania”. Lakini, kama ada, ukweli anao aliye Juu pekee. Dunia hii inaenda mbio sana. Hata 2025 huenda ni mbali. Kwa mfano nani alitarajia atatokea Hamza hapa Tanzania na kufanya vitu vile alivyofanya juzi. Polisi bado wanashangaa.
Bila shaka “wenye nchi” ambao kila kukicha huwacheka wananchi kwa kukosa ujasiri wa kuingia barabarani na kubaki kulalamika “mitandaoni” hawaamini kilichotokea. Hatujui modeli ya Watanzania watakaokuwepo kuanzia leo hadi 2030. Tahadhari ni muhimu.