Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

Mama alishapiga mitano yake ya mwanzo akiwa na Jiwe. Sasa anamalizia awamu ya pili alioachiwa na Jiwe. Subiri siku chache zijazo utaamini maneno yangu. Weka kumbukumbu.
 
CCM wama mpango wa kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa... kwamba wanataka kubadili sheria ili kuwaondoka wakurugenzi wa Halmashauri kuwa wasimamizi wakuu wa uchaguzi kwenye majimbo, lakini wanaacha kila kitu intact...yaani Mwenyekiti wa tume na Mkurugenzi wake wabakie kuchaguliwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye na yeye ni mgombea. akili gani hiyooo
 
Kuna maneno Samia aliyatoa wakati anahutubia juzi alipopewa taarifa ya Tume ya uchaguzi pamoja na kuwasifia; akasema, "yeye na wagombea wenzake kwa sasa watulie wafanye kazi muda wa kugombea bado".

Mwanzo nilidhani Samia hatagombea, hasa kutokana na body language yake kuonekana hawezi kuendana na kasi ya mamlaka aliyonayo, pia incompetence aliyonayo upstairs, lakini kwa kauli yake hiyo, imenifanya nianze kubadili mtazamo wangu taratibu, madaraka matamu.
 
Wewe ni mbumbu hata wa katiba pumbafu wee, Urais CCM mtifuano utakuwa 2030, 2025 CCM anagombea huyuyhuyu Rais wa awamu ya sita
Katiba 2[emoji16][emoji16][emoji16].. Hebu ziweke hapa wote tuzisome kisha nione aibu mimi

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Bashe yumo ndani?
 
Kwahiyo already Planned?
 
Kile kiti kina raha, Museveni atafia juu ya kiti kile. Maana yake ni kuwa hakuna anaetaka kimtoke kirahisi.
 
Wanapanga na wale wanapanga vile vile
 
Hawataweza ,Rais ni mmja nae ni SSH
 
[emoji16][emoji16] just imagine m/kiti wa CCM ndo anateua hadi jaji mkuu!,,:hii akili siku upinzani wakiweza kuibadilisha watachukua dola,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…