Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
umenena vyema, na umefungua pandora box, sasa ngoja MATAGA wakapambane na WATAKA MABADILIKOHuyo dada asiye na upande wowote anaitwa Nani?
Pia Sio tatizo makada wakiwa maraisi huko, maana hata Lissu aliwahi kuwa
FLAVIANAHuyo dada asiye na upande wowote anaitwa Nani?
Pia Sio tatizo makada wakiwa maraisi huko, maana hata Lissu aliwahi kuwa
Haha hakuna asiye na upande buana. Kwani Tundu na Fatma hawakua na upande😜😜😜Huyo dada asiye na upande wowote anaitwa Nani?
Pia Sio tatizo makada wakiwa maraisi huko, maana hata Lissu aliwahi kuwa
Acha ujinga wewe, akiwa CHADEMA hakuna na biashara za kizandiki, pia kumbuka ma-pusha wote wa Chugga wanasokotea kwake pale baa, tena lounge maalum.Huyu diwani wa cdm ana bar moshono ndani yake ina danguro na inauza ngada, baadae akaamua kuunga mkono juhudi ili aendeleze biashara alizokuwa akizifanya tangu akiwa huko cdm
Akili Yako Ni Kama Imejaa UjiChama cha wanasheria nchini TLS kinafanya uchaguzi wake mwaka 2021 baada ya kutofanyika 2020 kutokana na wimbi la Covid-19 phase 1 .
Uchaguzi huo utakaofanyika jijini Arusha {Jiji lililochukiwa zaidi na Marehemu, pamoja na kilimanjaro } utakuwa wa aina yake kwani Makada watatu wa CCM wamejitokeza huku mwanadada mmoja tu asiye na mrengo wowote.
View attachment 1733437
Hapo alikuwa Diwani CHADEMA kata Mabogini huko Moshi kilimanjaro, akahamia ACT kipindi hicho yeye Msando , kitila mkumbo, Habib Mchange, Afande Sele na Ma-snitch wengine wengi tu.
Alipofika ACT- WAZALENDO akatumwa yule jamaa SAABAYA kuja kumnunua na dogo Msando akaunga juhudi ili pia kulinda msalahi ya baa yake pale Moshono (jina kapuni) ambayo inasemekana ndani yake kuna danguro na pia ngada inauzwa hapo isisumbuliwe na TRA.
Ameunga juhudi na amekuwa mkosoaji wa TLS na ndiye alimshauri MWAKYEMBE TLS ifutwe na ifanywee NGO, walishindwa na wameendelea kushindwa.
Huyu mtu ni hatari sana, hafai kupata hata kura 6 za urais.
chawa wengine wanaogombea ni:
Edward Hosea-Kada /MATAGA.
UCHAFU aliofanya na GIGGY MONEY na akina Nandy pia umemshushia heshama sana
angalia hapa ndiye eti anataka kuongoza chama chenye heshma zaidi BARANI AFRIKA
https://www.facebook.com/
Hiyo bar ilifunguliwa lini?Acha ujinga wewe, akiwa CHADEMA hakuna na biashara za kizandiki, pia kumbuka ma-pusha wote wa Chugga wanasokotea kwake pale baa, tena lounge maalum.
Mataga mnalialia tu,sasa hivi mtalima kwa menoKwa Lisu wa Chadema ilikuwa ni sahihi kuwa Rais wa TLS,ila kwa wa vyama vingine ni kosa!!
Awajamaa wa Ufipa wanamatatizo makubwa.
Acha usnicht. Mwenye bar Moshono ni Abert Msando ambaye ni mataga aka muunga juhudi. Alikuwa kwenye tume ya kuchunguza mali za ccm na alikuwa mteule wa Magufuli. We sema umeamua kumsema hayati kuwa aliteua na kufanya kazi na muuza ngada na mfanya biashara ya danguroHuyu diwani wa cdm ana bar moshono ndani yake ina danguro na inauza ngada, baadae akaamua kuunga mkono juhudi ili aendeleze biashara alizokuwa akizifanya tangu akiwa huko cdm
Nenda katembe zeee dnnn uonee rahaa za duniani hayo mambo mengine sisi hayatuhusu ila mule ni full brdannnnHaha hakuna asiye na upande buana. Kwani Tundu na Fatma hawakua na upande[emoji12][emoji12][emoji12]
Uijui CCM wewe.Mataga mnalialia tu,sasa hivi mtalima kwa meno
Mrengo [emoji777]Chama cha wanasheria nchini TLS kinafanya uchaguzi wake mwaka 2021 baada ya kutofanyika 2020 kutokana na wimbi la Covid-19 phase 1 .