Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Tumeshakubaliana safari hii ni zamu ya kina mama full stop.
Chama cha wanasheria nchini TLS kinafanya uchaguzi wake mwaka 2021 baada ya kutofanyika 2020 kutokana na wimbi la Covid-19 phase 1.
Uchaguzi huo utakaofanyika jijini Arusha {Jiji lililochukiwa zaidi na Marehemu, pamoja na kilimanjaro } utakuwa wa aina yake kwani Makada watatu wa CCM wamejitokeza huku mwanadada mmoja tu asiye na mrengo wowote.
Hapo alikuwa Diwani CHADEMA kata Mabogini huko Moshi kilimanjaro, akahamia ACT kipindi hicho yeye Msando, kitila mkumbo, Habib Mchange, Afande Sele na wengine wengi tu.
Alipofika ACT- WAZALENDO akatumwa yule jamaa SAABAYA kuja kumnunua na dogo Msando akaunga juhudi ili pia kulinda msalahi ya baa yake pale Moshono (jina kapuni) ambayo inasemekana ndani yake kuna danguro na pia ngada inauzwa hapo isisumbuliwe na TRA.
Ameunga juhudi na amekuwa mkosoaji wa TLS na ndiye alimshauri MWAKYEMBE TLS ifutwe na ifanywee NGO, walishindwa na wameendelea kushindwa.
Huyu mtu ni hatari sana, hafai kupata hata kura 6 za urais.
Chawa wengine wanaogombea ni:
Edward Hosea-Kada /MATAGA.
UCHAFU aliofanya na GIGGY MONEY na akina Nandy pia umemshushia heshama sana angalia hapa ndiye eti anataka kuongoza chama chenye heshma zaidi BARANI AFRIKA
kura yako na kampeni ndio itaisaidia, ila pia yule aliyekuwa anapingana nayo nafikiri kaitwa kwa Bwana , hakuna threar tenaTutahakikisha TLS inaokolewa
Nadhani ilitungwa sheria kuzuia wanasiasa kugombeaHuyo dada asiye na upande wowote anaitwa Nani?
Pia Sio tatizo makada wakiwa maraisi huko, maana hata Lissu aliwahi kuwa
Huyo mbonani ccm na aligombea ubunge viti maalumFLAVIANA
Kwa nini? Kama ni ukada mbona nae ni CCM?Dada Flaviana anafaa sana kwa hiyo nafasi...
Mwache Ze don my broda mtoto wa mamangu mama yuleNenda katembe zeee dnnn uonee rahaa za duniani hayo mambo mengine sisi hayatuhusu ila mule ni full brdannnn
[emoji1]
Ova