Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 701
- 895
imfikie fisadi wa bumbuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Rabbon kumbuka Jk Jr aliutaka urais 1995 na hatimaye 2005 akaupata.Kweli kabisa, mfano, Malecela aliutanani sana lakini ukamteleza!!
1995 Jk Senior alimkataa Jk JrKwann hakuupata 1995 pamoja na kuwa alikubalika sana kumzidi Mkapa?
Kina nani hao wanaoutafuta Urais Kwa pesa?Salaam, Shalom!!
Historia inatuambia, Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini akichunga Kondoo wa baba yake aliyekuwa mfugaji na Mwananchi wa kawaida.
Urais au Ufalme ni title na Cheo Cha Mungu Mwenyewe, ndio maana waisraeli walipoomba wapewe mfalme, Mungu alisema, watu Hawa wamenikataa Mimi, kukikalia KITI hicho ni kuongoza watu wa Mungu Kwa niaba ya Mungu mwenyewe.
Ndio maana Mwalimu Nyerere alipaita IKULU ni Mahali Patakatifu, Si pango la WANYANG'ANYI.
Na kitu wengi wasichokifahamu, Tanzania ndio Nchi ya AGANO, Israel ya Rohoni,Inaitwa Nyikani/ Taifa teule, kimbilio la WATAKATIFU siku za mwisho.
Tanzania yetu tangu uhuru, wote walioutamani Urais, Urais uliwakimbia. Kwa kadri unavyozidi kuutamani Urais wa Nchi hii ambayo Nyerere alikuwa mwasisi wa mifumo ya uongozi na utawala, Kwa spidi hiyo hiyo ya kuutafuta, utateleza mikononi mwako usiamini kilichotokea.
1. Rais Mwinyi, hakuwahi kuutafuta Urais, Urais ulimtafuta.
2. Rais Mkapa hakujulikana, Wala hakuwahi kuutafuta Urais, Urais Ulimtafuta.
3. Rais KIKWETE hakutumia pesa kuusaka Urais, Urais ulimtafuta.
4. Kadhalika, Rais Magufuli pia hakuwahi kuota ndoto za Urais na kuzianika hadharani, Urais ulimtafuta Hadi Chato.
Wasaka Urais Kwa pesa, endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupata!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Amen
Unawajua sn!Kina nani hao wanaoutafuta Urais Kwa pesa?
Siwajui ndio maana naulizaUnawajua sn!
Naona Kuna juhudi za makusudi za watu wasio na hela kutaka kuiharamisha pesa kisa hawana pesa za kutumia si ajabu wanatunga Hadi stori za kumhudisha Mungu kana kwamba walikaa nae kikao.Salaam, Shalom!!
Historia inatuambia, Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini akichunga Kondoo wa baba yake aliyekuwa mfugaji na Mwananchi wa kawaida.
Urais au Ufalme ni title na Cheo Cha Mungu Mwenyewe, ndio maana waisraeli walipoomba wapewe mfalme, Mungu alisema, watu Hawa wamenikataa Mimi, kukikalia KITI hicho ni kuongoza watu wa Mungu Kwa niaba ya Mungu mwenyewe.
Ndio maana Mwalimu Nyerere alipaita IKULU ni Mahali Patakatifu, Si pango la WANYANG'ANYI.
Na kitu wengi wasichokifahamu, Tanzania ndio Nchi ya AGANO, Israel ya Rohoni,Inaitwa Nyikani/ Taifa teule, kimbilio la WATAKATIFU siku za mwisho.
Tanzania yetu tangu uhuru, wote walioutamani Urais, Urais uliwakimbia. Kwa kadri unavyozidi kuutamani Urais wa Nchi hii ambayo Nyerere alikuwa mwasisi wa mifumo ya uongozi na utawala, Kwa spidi hiyo hiyo ya kuutafuta, utateleza mikononi mwako usiamini kilichotokea.
1. Rais Mwinyi, hakuwahi kuutafuta Urais, Urais ulimtafuta.
2. Rais Mkapa hakujulikana, Wala hakuwahi kuutafuta Urais, Urais Ulimtafuta.
3. Rais KIKWETE hakutumia pesa kuusaka Urais, Urais ulimtafuta.
4. Kadhalika, Rais Magufuli pia hakuwahi kuota ndoto za Urais na kuzianika hadharani, Urais ulimtafuta Hadi Chato.
Wasaka Urais Kwa pesa, endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupata!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Amen
Hata pesa za wauza drugs 🤔Naona Kuna juhudi za makusudi za watu wasio na hela kutaka kuiharamisha pesa kisa hawana pesa za kutumia si ajabu wanatunga Hadi stori za kumhudisha Mungu kana kwamba walikaa nae kikao.
Broo tafuta hela hakuna uchaguzi hapa Duniani usiohusisha pesa.
Penye udhia penyeza rupua,hata kwako mwanao akiposwa na wenye pesa utafurahi ila akikuletea fukara inaweza kubali shingo upande.