- Thread starter
- #121
Hizo nguvu za KIKWETE kucheza Rafu Kwa wenye pesa alizitoa wapi wakati huo Lowassa alikuwa na pesa za kutosha?Mkuu wewe ni CCM damu damu kwa utetezi huo.Kauli ya Nyerere kusema,"Ikulu ni mahali patakatifu" ni kwa sababu ya Kikwete.Kikwete kama 2005 angekuwapo Nyerere asingepata Urais nakwambia.Kikwete ndiyo mcheza rafu namba moja Tanzania,anakumaliza huku akikuchekea.
Pia Mimi Si mwana CCM, ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿