Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

..nimekwambia Jk na El walikuwa genge moja.

..makubaliano yao ilikuwa atangulie Jk kupata Uraisi halafu afuatie El.

..walitumia pesa na mbinu nyingine chafu dhidi ya wenzao.

..tatizo lilikuwa Jk kutokutimiza abadi kwa mwenzake.
Lete hayo makubaliano kwa maandishi au voice tutajua ukweli unacho kizungumza
 
Salaam, Shalom!!

Tangu uhuru, wote walioutamani Urais, Urais uliwakimbia. Kwa kadri unavyozidi kuutamani Urais wa Nchi hii ambayo Nyerere alikuwa mwasisi wa mifumo ya uongozi na utawala, Kwa spidi hiyo hiyo ya kuutafuta, utateleza mikononi mwako usiamini kilichotokea.

1. Rais Mwinyi, hakuwahi kuutafuta Urais, Urais ulimtafuta.

2. Rais Mkapa hakujulikana, Wala hakuwahi kuutafuta Urais, Urais Ulimtafuta.

3. Rais KIKWETE hakutumia pesa kuusaka Urais, Urais ulimtafuta.

4. Kadhalika, Rais Magufuli pia hakuwahi kuota ndoto za Urais na kuzianika hadharani, Urais ulimtafuta Hadi Chato.

Hizi kelele za kuwa Marehemu Lowassa alisalitiwa na Rais KIKWETE ni unafiki tu, Urais hautafutwi Kwa pesa, na Urais haugaiwi kiurafiki Wala kindugu kwamba ukimaliza kula niachie nami zamu yangu!!

Wasaka Urais Kwa pesa, endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupata!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Amen
Na utajiri haufutwi na watu wenye element za kimasikin Sheikh. Ndio maana wenzetu boya hapewi uongozi. Unampa mtu urais anaanza kuiba na kuweka ndugu washkaji kila Mahali matokeo muda unaisha hola. Hakuna ufisadi mkubwa dunian kama kuibiwa muda na elimu.
 
IKULU Kuna biashara Gani pale?

Kwamba wananchi Walipa Kodi wapo, tajiri na pesa zake IKULU Zina KAZI Gani?

Utatuzi wa changamoto za wananchi unahitaji pesa za kiongozi tajiri au Akili na Maarifa kushirikiana na wananchi?
 
Hela haikai kwa mtu mjinga wewe. Hela ni mamlaka mpaka uweze kuimiliki inamaana unaweza kuendesha taasisi yeyote. Ni mifumo ile. So mtu masikin hawez kuja na wazo mbadala zaid ya kile kilichomzunguka. Hela ni connection mzee. Hata huyo Mungu unaemuabudu ni tajiri. Umasikin ni laana so kama ndio sifa ya kumpa mtu urais tumekwisha. By the way hao ambao unatuaminisha hawakuwa wez b4 hawajaiba.
 
Ndo nakuuliza,

Ukitumia pesa kuutafuta Urais wa Nchi,

Pana biashara Gani IKULU itakayomsaidia kurudisha pesa yake alitumia?
 
Tatizo hamna exposure mnafikiri hela ziko hapa tu. Dunia nzima kuna watu wanawasaidia watu kufikia malengo ya ndoto zao. Hata Nyerere kuna vizee viliuza mpaka baiskeli huko uswahilin. Ili ashike madaraka kila mtu ana watu wanamkubali mawazo yake so wanawekeza kwenye ndoto zake. So kwasasa sisi ni mapimbi bado kila alichosema Nyerere tumegeuza ni msahafu. Wakat hata yeye kaingizwa na watu hakuna Rais popote anaweza kuingia ikulu bila watu pale. Biashara iliyopo ni kuweka mawazo mapya juu katika kulisogeza gurudum la maendeleo nothing more. Hatuwez kuish kwa kuogopa hisia za Marehemu na kumruhusu aishi maisha yake tena aje aishi na yetu. Wakat mtu huyo huyo wakat anatoka ikulu alituambia mwenyewe siasa zake zimeshindwa. Amken vinginevyo wagen watakuja kuchukua kila kitu.
 
Nimekuuliza biashara iliyopo IKULU itakayofanyika kuwezesha kurudisha pesa alizotumia msaka Urais ni ipi hujajibu!!
 
Salaam, Shalom!!

Tangu uhuru, wote walioutamani Urais, Urais uliwakimbia. Kwa kadri unavyozidi kuutamani Urais wa Nchi hii ambayo Nyerere alikuwa mwasisi wa mifumo ya uongozi na utawala, Kwa spidi hiyo hiyo ya kuutafuta, utateleza mikononi mwako usiamini kilichotokea.

1. Rais Mwinyi, hakuwahi kuutafuta Urais, Urais ulimtafuta.

2. Rais Mkapa hakujulikana, Wala hakuwahi kuutafuta Urais, Urais Ulimtafuta.

3. Rais KIKWETE hakutumia pesa kuusaka Urais, Urais ulimtafuta.

4. Kadhalika, Rais Magufuli pia hakuwahi kuota ndoto za Urais na kuzianika hadharani, Urais ulimtafuta Hadi Chato.

Hizi kelele za kuwa Marehemu Lowassa alisalitiwa na Rais KIKWETE ni unafiki tu, Urais hautafutwi Kwa pesa, na Urais haugaiwi kiurafiki Wala kindugu kwamba ukimaliza kula niachie nami zamu yangu!!

Wasaka Urais Kwa pesa, endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupata!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Amen
Ni kweli Rais Kikwete pasipo na shaka alimsaliti Lowasa kwenye Urais.Na pia Kikwete ndiye Rais pekee aliyewahi kuutafuta Urais kwa udi na uvumba mpaka akaupata.Na ndiyo maana utawala wake haukuwa na mwelekeo maalum maana kwake yeye shida ilikuwa ni Cheo wala si kuitumikia nchi kiuzalendo.
 
Kwa upumbavu huu wa middle class wa kitanzania, ndio maana nchi bado sana,eti Urais umewafuata hao uliowataja wakati ukweli yaani naked truth,mtu mmoja alikua na uwezo wa kutafuta Rais wa nchi, soma hii eti Mauritius ndio nchi inayowekeza kwa wingi hapa nchini, nini kilimfanya Nyerere ambaye Alisha ng'atuka kwenye siasa kurudi na kutuletea rais aliyejiita ni Mr.clean wakati ni mmoja wa mafisadi wakubwa?
Mafisadi kama baba yako.
 
..nimekwambia Jk na El walikuwa genge moja.

..makubaliano yao ilikuwa atangulie Jk kupata Uraisi halafu afuatie El.

..walitumia pesa na mbinu nyingine chafu dhidi ya wenzao.

..tatizo lilikuwa Jk kutokutimiza abadi kwa mwenzake.
Ukweli ndiyo huo.Kikwete ameanza kutafuta Urais tangu 1995.
 
Wewe ni mwanademokrasia,

Usibebwe na hizi dhana za Urais wa kurithishana.

Wananchi ndiyo asili ya uongozi wa juu wa Nchi.

Wapo ambao Huwa wanafanya tafiti Kwa maslah ya nchi.

Ndo hao waliona Magu anafaa kutuvusha.

Hizo zingine ni story tu.

KIKWETE hakumsaliti Lowassa!!
Alimsaliti 100%.Akataka Membe shemejie sijui nduguye awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia 2015 hadi 2025.
 
Nimekuuliza biashara iliyopo IKULU itakayofanyika kuwezesha kurudisha pesa alizotumia msaka Urais ni ipi hujajibu!!
Sio kila anaetoa hela anahtaji return wewe. Nimekuambia kuna watu by nature wanapenda mawazo mapya so anaweza kukusaidia tu bila kutaka chochote kwako. Nina ndugu alisomeshwa bure na mmama mjane tena masikin wa huko Italy kwasababu tu alikuja kikanisa kujitolea akamsikiliza akamsaidia kufikia ndoto zake. Hiz akili za kimasikin hiz kwamba kila anaekusaidia anahtaji chochote mnazo waswahili na ni kwasababu hatuna exposure hatujui dunia ya nje inajiendeshaje.na ndio maana nikakuuliza ninani aliyeenda ikulu bila kuiba au ndugu zake kuiba. Ni upuuzi tu
 
Back
Top Bottom