- Thread starter
- #41
Wewe ni mwanademokrasia,..sanduku la kura linaheshimwa kulingana ns matakwa ya Mwenyekiti.
..Kilichotokea 2015 ni kwamba Mwenyekiti alimpinga zaidi Lowassa, kuliko alivyokuwa na interest kwa Membe.
Usibebwe na hizi dhana za Urais wa kurithishana.
Wananchi ndiyo asili ya uongozi wa juu wa Nchi.
Wapo ambao Huwa wanafanya tafiti Kwa maslah ya nchi.
Ndo hao waliona Magu anafaa kutuvusha.
Hizo zingine ni story tu.
KIKWETE hakumsaliti Lowassa!!