Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

Kina nani hao wanaoutafuta Urais Kwa pesa?
 
Naona Kuna juhudi za makusudi za watu wasio na hela kutaka kuiharamisha pesa kisa hawana pesa za kutumia si ajabu wanatunga Hadi stori za kumhudisha Mungu kana kwamba walikaa nae kikao.

Broo tafuta hela hakuna uchaguzi hapa Duniani usiohusisha pesa.

Penye udhia penyeza rupua,hata kwako mwanao akiposwa na wenye pesa utafurahi ila akikuletea fukara inaweza kubali shingo upande.
 
Hata pesa za wauza drugs 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…