Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Total crap.Nakuongeza na hii suka au nyolewa na maaskofu wako, kazi kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Total crap.Nakuongeza na hii suka au nyolewa na maaskofu wako, kazi kwako
Atawafaa sana wazanzibari, ni kichwa na anajiamini.Mkuu naona prof kaingia kwenye top5.
Wizara ya ulinzi ni key ministry but very structured. Waziri mwenye dhamana hawezi kuumiza kichwa sana kuiongoza ukilinganisha na wizara ya ujenzi ambayo kama waziri hayuko strategic kuiongoza (kama Magufuli alivyofanya) au kama Makame alivyoiunda baada ya kukabidhiwa mwaka 2015 nchi itaiumia zaidi. Hivi unakumbuka Chenge alivyokuwa waziri wa miundombinu? Unakumbuka nini kilitokea ? Acha ushabiki dogo Prof Makame alipambana sana kuiendesha na kwangu mimi niliona alifanikiwa sana kuliko Eng Kamwelwe wa sasa (anayemaliza muda wake). Kubali au kataa huo ndio ukweliKwa mtazamo wako Wizara ya Ulinzi siyo key ministry?
ahahahahahaaaNi awamu ya Jecha
Tayari imekuwa. Kikao kimeshamteua Dr Hussein Mwinyi kuwa mgombea urais Zanzibar.Allah atamfanyia atamfanyia wepesi Dr. Hussein na atakuwa rais ajaye wa zanzibar in 20 days time
Ukweli ni kwamba mgombea urais Zanzibar ni Dr Hussein Ali Mwinyi, na ameshatangazwa rasmi.Wizara ya ulinzi ni key ministry but very structured. Waziri mwenye dhamana hawezi kuumiza kichwa sana kuiongoza ukilinganisha na wizara ya ujenzi ambayo kama waziri hayuko strategic kuiongoza (kama Magufuli alivyofanya) au kama Makame alivyoiunda baada ya kukabidhiwa mwaka 2015 nchi itaiumia zaidi. Hivi unakumbuka Chenge alivyokuwa waziri wa miundombinu? Unakumbuka nini kilitokea ? Acha ushabiki dogo Prof Makame alipambana sana kuiendesha na kwangu mimi niliona alifanikiwa sana kuliko Eng Kamwelwe wa sasa (anayemaliza muda wake). Kubali au kataa huo ndio ukweli
Hakika tulimuandaaDr. Hussein Mwinyi Rais Tuliyemuandaa muda mrefu
Pole ya nini wakati tulitegemea hayo . ? Hata yeye anajua kabisa kwamba hawezi kumshinda Makame linapokuja suala la utendajiUkweli ni kwamba mgombea urais Zanzibar ni Dr Hussein Ali Mwinyi, na ameshatangazwa rasmi.
Pole sana.