THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Dr. Hussein Mwinyi Rais Tuliyemuandaa muda mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh kumbe!Ni kweli kwani huu uvamizi uliopewa jina la muungano hauna faida yoyote si kwa Tanganyika wala Zanzibar,zaidi ya kuwalinda mafia na wezi wa CCM
Oh kumbe!
Basi jiandae kumpokea Rais mpya Dr Hussein Ali Mwinyi
Hata uongozi na madaraka ni neema toka kwa Mungu, sio kwamba fulani akipata uongozi ndio so special au kuna sbb maalum, au ana elimu sanaa, ni bahati tu. Likewise ww kuwa hai hadi leo hii ni neema tu, ndivyo ilivyo. Hivyo hata Makame akiwa Rais wa Zanzibar ni neema tu, bahati, so tusiseme hawezi au hafai, tuache bahati ya mtu, huwezi jua, hata ww siku moja unaweza kuwa Rais wa nchi yako, huwezi jua, haya mambo mengine ni neema ya Mungu tu
Hao wote ni waganga njaa na mamluki wa DodomaMzee wa fumba vipi mbona unawapiga sana misumari hawa viongozi wako, inaonekana hata muungano haupendi kabisa?
Muulize Shein analo jibuHivi huyu mbarawa ukaribu wake na rais ukoje mbona sijaling'amua hilo
Nirushie namba yake nimchekiMuulize Shein analo jibu
Nirushie namba yake nimcheki
Kwani kuna shida gani akiendelea bila kikomo. .kwani wewe unachotaka upewe nafasi hiyo pia au unahitaji maendeleo na huduma nzuri kwa wananchi..Au unataka iwe kama fashion tu leo wewe kesho yule. Mfano China wameweza kumuweka Rais akae wana vyotaka wananchi. Wananchi wanahesabu kama ndani ya miaka mitano kununua ndege 11, basi ndani ya miaka 10 zitanunuliwa ndege 22..simple calculation
Hiyo ya Mbarawa kutaka kujitoa sidhani, rafiki yangu mmoja yupo katika team yake ya kampeni.Ni heri ajitoe tu katika hiki kinyang'anyro.Nasikia Pro Mbarawa anatarajia kujitoa
Ya sheinYa nani yeye mwenyewe au Shein ?
+255 24 2230815 / 4Ya shein
Haya maneno hata kwenye kanga yapoChaguo la Magufuli ni Makame Mbarawa. Lakini Hussein ana sukumwa na group ya babake. Sasa wazanzibari wanapiga kura kwa Maalim Seif. Nguvu ya umma vs vyombo vya usalama. Makame alikataliwa jimboni kwao. Alikuja Magufuli pemba na kuwatukana na kuwakejeli wapemba kuwa aliwaletwa mtu msomi wakampiga na chini. Magufuli alisema anawashangaa sana wapemba. Pili, Hussein hatakiwa na CCM zanzibar na hii inaonekana wazi katika huu mchakato wa kinyang'anyiro. Hata hivo upande wa ccm watamchaguwa Mbarawa kwa vile yeye ndiye mastermind wa kuvuruga kura akimshirikisha Jecha. Mwaka huu kipigo watakachopata CCM zenji hawataaamini lakini ikiwa watalazimisha mtu wao basi wajuwe watatuuwa wengi na wao pia watakufa. Hamna njia nyengine. Hivi ndio Magufuli ametaka na zawadi yake ni maiti watakao zikwa wakati huo. Vyenginevo waache kura zipigwe bila mizengwe.
Wote hao wametoka Tabora n.k.....Hakuna mzanzibari ametokea Tanganyika. Nakupa challenge kabila gani Tanganyika, linaongea Kimakunduchi, au Kikojani, au KiTumbatu??