Zanzibar 2020 Urais Zanzibar: Kwanini nawapa chapuo Makame na Mwinyi

Zanzibar 2020 Urais Zanzibar: Kwanini nawapa chapuo Makame na Mwinyi

Mmoja kati ya hao atakuwa mgombea mweza. Pia Rais wa Jamhuri ya Muungano ajae (2025) atatokea hapohapo.
 
Mmoja kati ya hao atakuwa mgombea mweza. Pia Rais wa Jamhuri ya Muungano ajae (2025) atatokea hapohapo.
Nionavyo mwinyi anaandaliwa kuwa wa JMT baadae. Kwa zile kanuni zetu za kupokezana madaraka, he fits the bill perfectly, muslim and from zenji! Ingawa ni upuuzi kifuata hii taratibu pia mwinyi huki bara sidhani kama atapaweza. Kuna wajanja wengi ktk mfumo, upole upole na kubembelezana hakifai, yeye busara imepitiliza....
 
👍
mkuu nimeelewa andiko lako ila yote kwa yote mwinyi ni President material ukiachana na hata huku bara anafaa sana mda ukifika ,huo ni mtazamo wangu kwa muonekano wake ila sijui ya moyoni mwake maana madaraka watu wakisha pata hubadika sana,na kusahau wametokea wapi hata kuwasahau walio nyuma yao hasa wananchi
Na ndiyo maana kuna tashwishwi kule Zanzibar, ukianzia ile kauli ya father of nation 'dhambi ya ubaguzi' tayari wanaanzisha hiyo kwa kusema huyu mpemba huyu muunguja na wanakwambia 'ilikuwa zamu yao sasa zamu yetu'.

Hapo ndipo nikaona kwa haya majina mawili mojawapo ndiye ataoewa nafasi.
 
👍Na ndiyo maana kuna tashwishwi kule Zanzibar, ukianzia ile kauli ya father of nation 'dhambi ya ubaguzi' tayari wanaanzisha hiyo kwa kusema huyu mpemba huyu muunguja na wanakwambia 'ilikuwa zamu yao sasa zamu yetu'.

Hapo ndipo nikaona kwa haya majina mawili mojawapo ndiye ataoewa nafasi.
Haa Mkuu kiongozi ,nimefurahia sana neno TASHWISHWI Tafadhali naomba niongezee mengine kama hayo thanks
 
Duh..
Hapo patamu sasa! Hapa ningeenda na mbarawa tu. dynasty ikomee kwa amani.
Huku visiwani kwa sasa kinachoonekana wanamtaka Mbarawa, kwanza ni kutoka unguja tofauti na Hussein na boss anamtaka huyo huyo so yawezekana moja kati yao anaandaliwa 2025, dr.
 
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa amechukua fomu za kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia chama cha mapinduzi uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa kumi (Oktoba).

View attachment 1483447
PICHA: Prof. Makame Mbarawa kushoto na Dr. Hussein Mwinyi kulia...
Jecha je
 
  1. major general Issa Suleima Nassor
  2. Dk Hussein Mwinyi
  3. Prof Makame Mbarawa.
huyo wa mwanzo ndiye atakayeshinda upande wa Zanzibar (ila sijui uamuzi wa Bara utakuwaje)
 
  1. major general Issa Suleima Nassor
  2. Dk Hussein Mwinyi
  3. Prof Makame Mbarawa.
huyo wa mwanzo ndiye atakayeshinda upande wa Zanzibar (ila sijui uamuzi wa Bara utakuwaje)
Upo sawa kabisa,prof mbarawa upemba unamuondoa coz Dr Shein nae ni mpemba,now unguja watapenda rais atoke kwao,Dr Mwinyi akiteuliwa daaa ile dhana ya usultani inamwaribia,tulikuwa na karume sr na karume jr maraisi now Mwinyi sr na Mwinyi jr tena??pia possibly Kati yao wawili tunaweza pata makamu wa pili wa rais Zanzibar
 
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa amechukua fomu za kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia chama cha mapinduzi uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa kumi (Oktoba).

View attachment 1483447
PICHA: Prof. Makame Mbarawa kushoto na Dr. Hussein Mwinyi kulia...
Kura iende kwa Mbarawa,huyu mwingine anasafiria nyita ya baba yake,haiwezekani watoto wa maraisi ndio wawe tu wawe wanarithi mikoba ya baba zao,ilianza kwa Karume na sasa inakuja kwa Mwinyi na baadae tutaja sikia mtoto wa Shein, kama si Mbarawa basi mama makamu wa raisi angejitosa.

Nyerere hakuwaandaa watoto zake waje kuwa maraisi wa baadaye mwishowe huu mnyororo utazidi kuendelea tusipoukata mapema,baba alikuwa raisi Zanzibar, akaja serikali ya muungano na baado nae mtoto anautaka uraisi,baada ya Zanzibar atakuja kuutaka wa Muungano. Mambo ya kusafiria nyota ya wawazazi na mamlaka za wazazi yamepitwa na wakati.
 
mkuu nimeelewa andiko lako ila yote kwa yote mwinyi ni President material ukiachana na hata huku bara anafaa sana mda ukifika ,huo ni mtazamo wangu kwa muonekano wake ila sijui ya moyoni mwake maana madaraka watu wakisha pata hubadika sana,na kusahau wametokea wapi hata kuwasahau walio nyuma yao hasa wananchi
Mwinyi anasafiria nyota ya baba yake ,sijui ni kipi cha kujipigia chapuo
 
Wampe Prof tu, hao kina Mwinyi na Karume wawaachie na wengine sasa kuongoza...hii si nchi ya kifalme.
Umenena mkuu, na wengine nao wale harua sio wao tu wawe wanapokezana vijiti na baba zao,hii sio fair hata kidogo.
 
Hebu nipe orodha yote ya waliochukua form Zanzibar nione kama shamsi vuai Nahodha, na Yusuf Masauni nao wamechukua form au hawajachukua! Hapo ndio ntakua na jambo la kuongea juu ya Mwinyi na Mbarawa.
 
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa amechukua fomu za kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia chama cha mapinduzi uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa kumi (Oktoba).

View attachment 1483447
PICHA: Prof. Makame Mbarawa kushoto na Dr. Hussein Mwinyi kulia...
Mmoja wapo ambaye ni Mwinyi ni Rais na mwingine Mbalawa ni Makamu Rais.

Mwinyi ana historia ndefu akiongoza wizara ya ulinzi.

Mbalawa asipokuwa makamu rais, basi atakuwa waziri wa ulinzi JMT.
 
Hebu nipe orodha yote ya waliochukua form Zanzibar nione kama shamsi vuai Nahodha, na Yusuf Masauni nao wamechukua form au hawajachukua! Hapo ndio ntakua na jambo la kuongea juu ya Mwinyi na Mbarawa.
1. Hussein Mwinyi
2. Makame Mbarawa.
3. Hamad Masauni.
4. Ally Karume.
5. Shamsi Vuai Nahodha.
6. Mbwana Yahya Mwinyi.
7. Jecha Salim Jecha.
8. Mohammed Jafar Jumanne.
9. Bi. Mwatum Mussa Sultan.
10. Mohamed Hija Mohamed.
11.
12.
 
Back
Top Bottom