idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Mwaka huu hatakubali kudhulumiwa tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu hatakubali kudhulumiwa tena.
[emoji23][emoji23][emoji23]hauko serious mkuuAcheni ramli chonganishi. Hii ni zamu ya Jecha.
Jecha aliahidiwa akipindua meza atakabidhiwa mikoba awamu itakayofuata.
Tunaenda na Jecha 2020 - 2025.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa amechukua fomu za kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia chama cha mapinduzi uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa kumi (Oktoba).
View attachment 1483447
☝PICHA: Prof. Makame Mbarawa kushoto na Dr. Hussein Mwinyi kulia...
Lakini hawa siyo watanganyika ndugu ni damu ya unguja na pemba hao, sasa wataifisidi vipi Zanzibari?.Wote wanaifaa Tanganyika kuendelea kuifisidi Zanzibar na watu wake. NI VIBARAKA NAMBARI MOJA NA NI MIJOGA YA KUTUPWA KAMA ALIVYO SHEIN
ndipo mlipotoka nyie mburulaz wa zanzibar leo mnapatukana, au na wewe unahisi asili yako oman!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hawa siyo watanganyika ndugu ni damu ya unguja na pemba hao, sasa wataifisidi vipi Zanzibari?.
Makame kila la kheri
Ni heri ajitoe tu katika hiki kinyang'anyro.Nasikia Pro Mbarawa anatarajia kujitoaWanasema hakuishia kubaka tu, huyo aliyebakwa aliaga dunia, ndio sababu akapelekwa nje ili kuua soo.
Hawezi cho chote huyo , huko bara kwenye vipofu chongo anakuwa ni mfalme
Kipi kilichomfanya kuwepo hapo alipo?Huku wala hayuko ktk rank ya top ten ministers.
Ni kweli kwani huu uvamizi uliopewa jina la muungano hauna faida yoyote si kwa Tanganyika wala Zanzibar,zaidi ya kuwalinda mafia na wezi wa CCMKwa maslahi mapana ya muungano, atakayefaa kuongoza Zanzibar ni Dr Hussein Mwinyi.
Profesa Mbarawa apewe umakamu wa Rais wa Zanzibar.
Hao wengine tuwatakie kila la kheri kwenye shughuli zao nyingine.
Kipi kilichomfanya kuwepo hapo alipo?
Uhai anatoa Mungu, Unataka kuniambiaa CCM kaunda Mungu? 😜 😜 😜Nothing so special, bahati ya mtu tu, kwani ww kipi kimekufanya uwe hai hadi leo hii?
Uhai anatoa Mungu, Unataka kuniambiaa CCM kaunda Mungu? 😜 😜 😜
Kwani kuna shida gani akiendelea bila kikomo. .kwani wewe unachotaka upewe nafasi hiyo pia au unahitaji maendeleo na huduma nzuri kwa wananchi..Au unataka iwe kama fashion tu leo wewe kesho yule.Hussein Mwinyi akipitishwa kugombea Zanzibar mjue Mzee Baba atabadili katiba aendelee bila ukomo.