Kura iende kwa Mbarawa,huyu mwingine anasafiria nyita ya baba yake,haiwezekani watoto wa maraisi ndio wawe tu wawe wanarithi mikoba ya baba zao,ilianza kwa Karume na sasa inakuja kwa Mwinyi na baadae tutaja sikia mtoto wa Shein,kama si Mbarawa basi mama makamu wa raisi angejitosa.Nyerere hakuwaandaa watoto zake waje kuwa maraisi wa baadaye mwishowe huu mnyororo utazidi kuendelea tusipoukata mapema,baba alikuwa raisi Zanzibar, akaja serikali ya muungano na baado nae mtoto anautaka uraisi,baada ya Zanzibar atakuja kuutaka wa Muungano. Mambo ya kusafiria nyota ya wawazazi na mamlaka za wazazi yamepitwa na wakati.