Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Mnaosema mwinyi ni presidential material hebu orodhesheni achievements zake hapa chini, Bora hata Makame mbarawa tunaona Alivyosimamia Ruwasa na Tanzania kwasasa miradi ya maji vijijini inasambaa kwa kasi.mkuu nimeelewa andiko lako ila yote kwa yote mwinyi ni President material ukiachana na hata huku bara anafaa sana mda ukifika ,huo ni mtazamo wangu kwa muonekano wake ila sijui ya moyoni mwake maana madaraka watu wakisha pata hubadika sana,na kusahau wametokea wapi hata kuwasahau walio nyuma yao hasa wananchi
Ifike muda tuwe tunachagua viongozi kwa achievements zao. Nitajieni achievements za Huyo mwinyi.
1.
2.
3.
4.
5.
Ili tuone