Zanzibar 2020 Urais Zanzibar: Kwanini nawapa chapuo Makame na Mwinyi

Allah atamfanyia atamfanyia wepesi Dr. Hussein na atakuwa rais ajaye wa zanzibar in 20 days time
 
Kwa mtazamo wako Wizara ya Ulinzi siyo key ministry?
Wizara ya ulinzi ni key ministry but very structured. Waziri mwenye dhamana hawezi kuumiza kichwa sana kuiongoza ukilinganisha na wizara ya ujenzi ambayo kama waziri hayuko strategic kuiongoza (kama Magufuli alivyofanya) au kama Makame alivyoiunda baada ya kukabidhiwa mwaka 2015 nchi itaiumia zaidi. Hivi unakumbuka Chenge alivyokuwa waziri wa miundombinu? Unakumbuka nini kilitokea ? Acha ushabiki dogo Prof Makame alipambana sana kuiendesha na kwangu mimi niliona alifanikiwa sana kuliko Eng Kamwelwe wa sasa (anayemaliza muda wake). Kubali au kataa huo ndio ukweli
 
Ukweli ni kwamba mgombea urais Zanzibar ni Dr Hussein Ali Mwinyi, na ameshatangazwa rasmi.
Pole sana.
 
Dhana imekuwa kweli Dr. Hussein amepewa uwezo bado wananchi wampe mpini wa maamuzi.

Soon: Zanzibar kwa nini asiwe Dr. Hussein au Maalim Seif..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…