connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Do ilikuwaje?Hapo bandarini Dar wanashindwaje ku-handle mzigo wa ku-export Parachichi? Yaan Parachichi litoke Njombe likasafirishwe Mombasa port?
Nafanya biashara za export ya Parachichi kwenda Netherlands Ila ukijichanganya kutumia Dar port utajuta na mzigo utaozea hapo hapo. Na bado watakanusha. Hawana facility za kutunza perishable products (matunda na mboga mboga). Documentation Sasa kama zoteebu leta source ya habarii wewee...unaichafulia jinaa serikalii
Perishable good vs ports/harbour, serekali isaidie hapa tunayo ndege, atcl kitengo cha marketing mpo wapi?, mna arange kitu gani kusaidia wafanyabiashara wa Perishable goods, hata safari moja tu kwa mwezi ya kimkakati.
Netherland imegeuka kama hub ya soko la parachichi kwa nchi jirani, hivyo importation ya parachichi hapo Holland huwa 1 billion US Dollars per annum, wanayapenda na hali zao haziruhusu kuyalima, hapo ndipo patamu, how serekali yetu ikienda kufunga mkataba wa kibiashara kusaidia wakulima wetu!
#Market review!
Sio kweli, Vipo vigezo maalum, vinavyofuatwa.Mombasa Ndio Bandari inayoaminiwa na nchi za Ulaya kusafirisha vyakula!
Hujuma hizo, yule DP World akabidhiwe haraka hizo takataka ziondoke hapo.Hapo bandarini Dar wanashindwaje ku-handle mzigo wa ku-export Parachichi? Yaan Parachichi litoke Njombe likasafirishwe Mombasa port?
DP World si wamepewa kandarasi hapo bandarini? Sasa nini shida tena?
DP world ana makontena maalum ya kusafirisha Nguruwe wazima!Hujuma hizo, yule DP World akabidhiwe haraka hizo takataka ziondoke hapo.
Wabongo hawawezi kubadilika. Tumezoea kufanya kazi kwa mazoea, kizembe, kifisadi, kibabaishaji na bila kuwajibika; kwa hatuwezi kujifunza na kubadilika.Kwani bado tu hawajabadilika tangu rostam aziz aseme binti yake anatumia bandari ya mombasa kusafirisha parachichi zake!
Sio kweli, Vipo vigezo maalum, vinavyofuatwa.
Kwann usiandae mapema documentsNafanya biashara za export ya Parachichi kwenda Netherlands Ila ukijichanganya kutumia Dar port utajuta na mzigo utaozea hapo hapo. Na bado watakanusha. Hawana facility za kutunza perishable products (matunda na mboga mboga). Documentation Sasa kama zote
Huyu mzaramo wa kariakoo Dili zote chafu za upigaji hakosi kupitia mgongo wa Mzee wa meno ya tembo plus za kuambiwaDPW hawakuja kwaajili ya kuboresha huduma. Ule ulikuwa ni mkakati wa watu wa humu humu ndani kujimilikisha bandari. Ndiyo maana kwenye deal yote, in the forefront unamwona Rostam StamRo Aldub.