Urasimu Bandari ya Dar, wafanyabiashara wa Parachichi wakimbilia Mombasa

Urasimu Bandari ya Dar, wafanyabiashara wa Parachichi wakimbilia Mombasa

Nipo hapa meli zimeongezeka kwa sana tena traffic ni kubwa mpaka wakenya wanalia... Airport ya songwe wanajenga cold room so ni plan kusafirishwa huko pia hizo ni perishable goods.
 
Tusipoondokana na CCM tumekwisha.

Watu walidanganywa na kuaminishwa kuwa DPW wanakuja kubadili kila kitu, kltena kwa teknolojia za kisasa. Kwa hiyo tuamini kuwa DPW ya Dubau wamezidiwa bandari ya Mombasa kwa ubora wa huduma na vigezo vya usafirishaji wa bidhaa mbalimbali! Watu waliambiwa tangu mwanzo kuwa hii ni DPW ya wajanja wa Pwani, hawakuelewa.
 
Hivi kuna ubaya gani, kwa kuwa uhitaji wao ni 1 billion US dollar, hawana ardhi huko hayalimiki, serekali mbili ziongee, tuwape eneo, tulime in joint kwa kukusanya wakulima wadogo, ili dollar bilion moja zote zije Tanzania.
Dollar 1 billion = 2trillion na ushee!
Hakuna mtawala ambaye anaweza kufikili hivi mkuu wangu ndani ya taifa hili,unapoteza muda kushauri wapumbavu.
 
DPW hawakuja kwaajili ya kuboresha huduma. Ule ulikuwa ni mkakati wa watu wa humu humu ndani kujimilikisha bandari. Ndiyo maana kwenye deal yote, in the forefront unamwona Romstam na Aldub.
Kabisa, ni kampuni ya wahuni wa humu humu ndani. Ni mambo ya ile kampuni ya Richmond kuwa iko US, kufuatiliwa hata ofisi haina huko!
 
Hivi kuna ubaya gani, kwa kuwa uhitaji wao ni 1 billion US dollar, hawana ardhi huko hayalimiki, serekali mbili ziongee, tuwape eneo, tulime in joint kwa kukusanya wakulima wadogo, ili dollar bilion moja zote zije Tanzania.
Dollar 1 billion = 2trillion na ushee!
Hao wazungu hawataki kuwekeza kwenye nchi ambazo sera za nchi zinabadilika muda wowote kutokana na utashi wa rais aliye madarani. Maana hakawii kuingia rais akajifanya mzalendo na kuanza kusema ardhi yetu imechezewa sana na mabeberu. Rejea uhuni wa dhalimu magu kwenye mashamba ya maua.
 
Back
Top Bottom