Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Parachichi zinazo pita Mombasa, ni za wafanya biashara wa Kenya. Huzi nunua Tanzania na kuziweka label ya produce from Kenya.Hapo bandarini Dar wanashindwaje ku-handle mzigo wa ku-export Parachichi? Yaan Parachichi litoke Njombe likasafirishwe Mombasa port?
AiseDP world ana makontena maalum ya kusafirisha Nguruwe wazima!
Wanywa urojo na bangi wapi na wapiYa Zanzibar
Hapana kuna international standards ambazo ni lazima kama nchi mzingatie!Mombasa Ndio Bandari inayoaminiwa na nchi za Ulaya kusafirisha vyakula!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]DP world ana makontena maalum ya kusafirisha Nguruwe wazima!
SI tuliambiwa DPW wanakuja na ufanisi bora sana?Hapo bandarini Dar wanashindwaje ku-handle mzigo wa ku-export Parachichi? Yaan Parachichi litoke Njombe likasafirishwe Mombasa port?
Hizo kazi zinafanywa na Mawaziri wenye akili,sasa awa Wakina January, Mwigulu,Bashe na Ashantu akili kubwa kama hizi wazitoe wapi!Hivi kuna ubaya gani, kwa kuwa uhitaji wao ni 1 billion US dollar, hawana ardhi huko hayalimiki, serekali mbili ziongee, tuwape eneo, tulime in joint kwa kukusanya wakulima wadogo, ili dollar bilion moja zote zije Tanzania.
Dollar 1 billion = 2trillion na ushee!
Wanajua nini maana ya umasikini na kupambana nao kwa vitendo!Wakenya ndio watu wajanja zaidi Africa Mashariki
Hao wazungu hawataki kuwekeza kwenye nchi ambazo sera za nchi zinabadilika muda wowote kutokana na utashi wa rais aliye madarani. Maana hakawii kuingia rais akajifanya mzalendo na kuanza kusema ardhi yetu imechezewa sana na mabeberu. Rejea uhuni wa dhalimu magu kwenye mashamba ya maua.
Perishable good vs ports/harbour, serekali isaidie hapa tunayo ndege, atcl kitengo cha marketing mpo wapi?, mna arange kitu gani kusaidia wafanyabiashara wa Perishable goods, hata safari moja tu kwa mwezi ya kimkakati.
Netherland imegeuka kama hub ya soko la parachichi kwa nchi jirani, hivyo importation ya parachichi hapo Holland huwa 1 billion US Dollars per annum, wanayapenda na hali zao haziruhusu kuyalima, hapo ndipo patamu, how serekali yetu ikienda kufunga mkataba wa kibiashara kusaidia wakulima wetu!
#Market review!
Wazee wa BandariKAZI ni kipimo cha utu