Urembo ulionishinda mimi.....

With all due respect wee type yangu!
 
Kujichora piko mikononi na miguuni au tattoo siwezi abadani na kuweka lenzi kama za nyau kwenye macho
 
Mmetudiss sana wanyaki. Ila aunts zangu sijui mkorogo wao ndo wa kupima na kijiko. Afu wao wanahangaikaga tu na sura, mwili akhuu, basi wanakuwa kama amoxicillin

hahahahhahahaa yaan nacheka balaa! napenda niende tena huko jaman niwe nacheka!yaan mwilin hawana shida hyo kbs! dah had raha!
 
Vp kuchora katatoo kwenye tako hupendi pia

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Shida sina pesa ila unafaa kuwa mke..! Naogopa utakuwa unachepuka tuu basi..! Ingawa badae lazima nijaribu natangulia pm utanikuta sawa..!
 
Mmetudiss sana wanyaki. Ila aunts zangu sijui mkorogo wao ndo wa kupima na kijiko. Afu wao wanahangaikaga tu na sura, mwili akhuu, basi wanakuwa kama amoxicillin
Halafu wewe...!!
Mtuache tu wanyaki. Basi unakuta mtu ana hilo weave au wigi kichwani utadhani kabeba beseni mweeh

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Mmetudiss sana wanyaki. Ila aunts zangu sijui mkorogo wao ndo wa kupima na kijiko. Afu wao wanahangaikaga tu na sura, mwili akhuu, basi wanakuwa kama amoxicillin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ntakuchapaa!, sio kwa kucheka huku!, eti mkorogo wa kupima na kijiko..

espy njoo mchukue mwanao! [emoji28]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ntakuchapaa!, sio kwa kucheka huku!, eti mkorogo wa kupiga na kijiko..

espy njoo mchukue mwanao! [emoji28]
[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
My dear kwani nina mengi basi, powder, mascara, lipstick, nimemaliza kazi.
Lakini hapa kwenye thread nimejifunza wanja dizain "hawara mshenz" labda nitaongezea huo! 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…