Hahahah!, kwa kweli heels ni urembo mzuri na tuzipende tu lakini shughuli yake si ndogo.Teh hujawahi kuona mtu kavaa heels afu hajui kuzitembelea ha ha ha ha magoti yanatangulia mbele kama mosheni flani hivi ya masanja mkandamizaji
Yap!, halafu uweke moisturize right after.hyo ya yolk inatoa kwel kwel mafuta! mie navyopenda urembo sasa!za asili ni the best!
Hhahaaaaaa!!!Wanja mpaka sikioni! [emoji23]
Heaven Sent na espy naenda kuweka "hawara mshenz" halafu mniambie sijapendeza! [emoji38]
Hizo heels mvaage tu kwakweli.Hahahah!, kwa kweli heels ni urembo mzuri na tuzipende tu lakini shughuli yake si ndogo.
Halafu ukute zimekubana na zinauma kwenye vidole, asee mbona utatamani kutambaa barabarani?!, ndo maana na prefer wedges, zenyewe ziko poa hata kama mtu mzito.
espy Heaven Sent mrs air
Hahahah!, kwa kweli heels ni urembo mzuri na tuzipende tu lakini shughuli yake si ndogo.
Halafu ukute zimekubana na zinauma kwenye vidole, asee mbona utatamani kutambaa barabarani?!, ndo maana na prefer wedges, zenyewe ziko poa hata kama mtu mzito.
espy Heaven Sent mrs air
kumbe na wewe ni demuKunyoa nyusi na kuchora zangu! Na zaida sana ni kuvaaa wigi la kilo 25KG kichwani kwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahah!, wewe tyena, nazijua live live zako![emoji23]Hhahaaaaaa!!!
Mie unanijua, nakuchana tu live na kukucheka juu.
Hizo heels mvaage tu kwakweli.
hahahaha mie nimeacha kuvaa high heels! nimegain wait bas nakua nahis kisigino kinashake nw navaa midheels tu! ktk vitu vilivyonishinda ni wedges! huez amin huwa naanguka had chini! hahaha!nimegawa sitak kuumia mie!
Halafu wewe wa pili humu nakusikia unasema huwezi wedges na mwenzako Heaven Sent
Mbona naona kama ndio most comfortable heels ever!, kama viatu vya kuzurulia.
Wedges ndio my fav, high heels hapana, mid heels sawa.Halafu wewe wa pili humu nakusikia unasema huwezi wedges na mwenzako Heaven Sent
Mbona naona kama ndio most comfortable heels ever!, kama viatu vya kuzurulia.
Haiba ipo ndo naongeza na kawanja kidogoMwalimu eve tunza haiba yako bhana[emoji14]
huwezi kuwa shujaa bila kuwa muhuni
uwiiiii yaan haipit dk 2 nimetenguka mguu kuna siku vilinipeleka chin kbs! nikagive up!kwakwel nashindwa eewa shida iko wap maana ike base yake iko poa sana !hahaha una raha nakutamania!
bdw umewah viona viatu anavyovaa mke wa Shein wa zenji?
My dear mie hapana hizo habari kwakweli, wedges zinatosha.Teh!, Inabidi kufanyia mazoezi kwanza.
Alinifundishaga aunt yangu, alikuwa akinunua heels anazivaa ndani kwanza kama a week or two ku make sure amezizoea vizuri, then ndo anatoka nazo nje kwenye kadamnasi.
Ni kweli bwana ukizizoea vizuri ndani hazikupi shida sana nje, kuliko kuziingia mazima.
Wedges ndio my fav, high heels hapana, mid heels sawa.
Kuna mmoja jana nmemuona kavaa viatu virefu nikajikuta nacheka tu huo mwendoHa ha ha
nimecheka sana madame daah, maana nimevuta ile taswira ya baadhi ya wadada wanavyokua, kama yule wa juzi video yake akiwa katika mahafari ilisambaa
My dear mie hapana hizo habari kwakweli, wedges zinatosha.
I tried nikaona ni mateso tu, alafu najiona kama ngongoti!!