Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Hahahah!, kwa kweli heels ni urembo mzuri na tuzipende tu lakini shughuli yake si ndogo.Teh hujawahi kuona mtu kavaa heels afu hajui kuzitembelea ha ha ha ha magoti yanatangulia mbele kama mosheni flani hivi ya masanja mkandamizaji
Halafu ukute zimekubana na zinauma kwenye vidole, asee mbona utatamani kutambaa barabarani?!, ndo maana na prefer wedges, zenyewe ziko poa hata kama mtu mzito.
espy Heaven Sent mrs air