Urembo ulionishinda mimi.....

Mweeee jamani si wote mby wanajichubua japo ni wengi.na shida hatutaki kujikubali maana wengi tu weusi ss tutapakaje wanja na kutinda nyusi ndio mana tunajichubua.ss michubuo hiyo ikikutana na jili baridi ndio tunakuwa wakijani maana si pinki tena.

Sent from my SHV-E250S using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahahahahahaaaaaaa yaani kicheko nilichocheka sitocheka tena hadi jioni... Sasa utapingana na tafiti zangu kwamba mwanamke hata awe mbaya sehemu zote mwilini mwake ila unapokuja ktk paja kuna kitu anakirimiwa... Kuna zile asilimia 0.001 za kundi hili ambao kunakuwa na vimichirizi ila stili paja ukilishika lina mambo yake kunako antena za kiume.... Ila wanasemaga wachoraji wengi ni wanaume wa kwenye kideo.....Hahahahahahahaaaaaaaa
 
1.Kuweka nywele dawa,
2.kuvaa cheni,
3.kupakaa mafuta makali,
4.kupakaa poda,wanja,
5.kufanya scrabu

Nimeshindwa labda na imani imechangia.


Sent from my SHV-E250S using JamiiForums mobile app
 
mimi pia nazipenda...

ipo siku ntaanzisha Daftari la wapiga kura kwenye Paja moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu muhimu wote... siku nikipotea wanirudishe kwetu

Sent From my C5 wereva
Naomba unikumbuke
 
Kuna binamu yangu huwa anachora wanja unatokea kwenye nyusi unakaribia kugusa sikio, mwenyewe anauita "hawara mshenzi" huwa nacheka mno
Duuuuuh!!!!! Huku kwenye wanja nako sijui ni kujitoa ufahamu, mtu kajipaka wanja utafikiri kapaka rangi za nyumba??? Mfano uswazi ndio kwenye wanja na majina kama hayo...Yaani kuna kang'tangaze, kiboko yako, mme mwenzetu, n.k na wahusika wakiona wanajua kabisa huu ujumbe wangu....Usiulize nimejuaje,,,Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
toa
 
Nahc kwa jinsi ulivyo ukiweka na hayo makorokoro unaeza fanana na shumileta
 
Tuna terminology zetu Kwamtogole wa usuani hamzinyaki
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanichekesha, vyoteee sijawahi jaribu isipokuws kubandika kucha, sasa basi nikitembea maana nilibandika za miguuu nakuwa km navidonda miguuni, natembea nikichechemea kila muda najikwaa jingine zinabanduka?!!! Khaa sina hamu Nazo tenaa
 
Kuna nyakati nyingine mwanamke hata chupi haina mpango kabisa kuvaa. Mimi kuna demu namfahamu huwa tunakutana nae sana Nairo kwa miaka sijawahi ona kavaa kyupi, hata kama kavaa mini sketi, anadai anapea mbili za kuvaa wakati wa mvua nyekudu tu, na ukimuona kavalia nguo zake wala huwezi jua mpaka uwe mtu wake wa karibu, tena ako na mwili wake wa haja kabisa. Kyupi tuachieni sisi wanaume kwaajili ya kuzuia na ku kotrol magobore yanapo shtuka na kuamka.
 
Hiyo sasa ni walking vending mashine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…