Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

Kuna nyakati nyingine mwanamke hata chupi haina mpango kabisa kuvaa. Mimi kuna demu namfahamu huwa tunakutana nae sana Nairo kwa miaka sijawahi ona kavaa kyupi, hata kama kavaa mini sketi, anadai anapea mbili za kuvaa wakati wa mvua nyekudu tu, na ukimuona kavalia nguo zake wala huwezi jua mpaka uwe mtu wake wa karibu, tena ako na mwili wake wa haja kabisa. Kyupi tuachieni sisi wanaume kwaajili ya kuzuia na ku kotrol magobore yanapo shtuka na kuamka.


alafu siku nyingne mje na nyuzi kuwa kwann wanawake wasasa hv hawavai kyupi!!!!!! ahahha mtahitimisha kuwa ni m.a.l.a.y.a!tuache tu mkuu tujivundike na makyupi yetu kuzui tetemente!
 
Original nenda kwenye malls au maduka makubwa.Pia usipende sana kusuka mitindo hizo dreads wacha zitulie zipate nguvu na nywele mpya imee bila kusukwa.Pia usipake bleach kwanza mpaka ziache kukatika.
Oooh zina bleach tayari kwenye ncha
 
Sawa natural "gd" unitafute though

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Dogo we ndo unaitwa mgodi?? Mama yangu weee angalia usije maliza mtaji wa magari hahaaaa
 
Kuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo....

1: kupaka wanja kwenye nyusi

Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa wanja mweusi, basi nikijaribu kupaka nafuta naendelea na mambo mengine, mara chache nimejaribu wanja wa brown napaka kwa mbaaali naona unakuja kuja mdogo mdogo ntaweza.

2: kuvaa wig/kushonea weaving

Hapa nimeinua mikono, wig nilivaa mwaka flani wakati naanza kusokota dread siwezi kwenda kazini vile, nikanunua wig kwanza dukani tu naambiwa linauzwa elf 25 nikashtuka nlijua buku ten, nikanunua nikavaa mmh najiona nakua kama kanjibai, linawasha, lina joto nlipata shida, nywele zilivorefuka sijarudia tena huu urembo siuwezi kabisa.

3: kubandika kucha

Nilijaribu siku moja kutoa ushamba, naona shost angu kila siku anabandika anapendeza, akanipeleka namie nikabandika mmh siku hiyo hata kutandika kitanda nilishindwa, kuchomeka shuka kwenye godoro ikawa tabu, siku chache nikazoea, siku ya kuzibandua sasa yani zinang'olewa utadhani nimetekwa nlikua na kazi ya kupiga kelele kama kimbwa, sirudii tena sitarudia kabisa.

4: kubandika kope

Hii kujaribu tu siwezi make, nikiwaona kina mwajuma ndalandefu wanavokua huwa nacheka, kope zinasimama utadhani mtu kavaa kofia, yana wenyewe haya

5: kupaka cream/kujichubua

Hii kazi ya kujipa mateso hii, uso mweupe miguu myeusi, kuna siku nliwekewa maji ya cream bila kujua ushamba huu, nimeulizwa tu niweke maji nkajibu eeh weka nlijua labda glycerin, duh siku mbili tu nkaanza kuwa kama tumbili....

Wewe huwezi nini?

Nb: naombeni mniambie mafuta ya nywele natural, naona nywele zinakatika
Yaani wewe upo kama mimi namba 2,3,4 na 5 vyote vilinishinda
kupaka Angel face n fundition vyote hivyo vimenishinda.

jaribu kutumia mafuta ya nazi lakini upike mwenyewe kama unajua.Ni mazuri sana kwa nywele za asali.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Yaani wewe upo kama mimi namba 2,3,4 na 5 vyote vilinishinda
kupaka Angel face n fundition vyote hivyo vimenishinda.

jaribu kutumia mafuta ya nazi lakini upike mwenyewe kama unajua.Ni mazuri sana kwa nywele za asali.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Nilijaribu kupaka minara kichwani nikapata kama vile mba, ni ngozi ilikua inatoka
 
Mke si ndio uyu bhna

Low cost + uelewa +ability ya kujizuia kitu = Uyu anajitambua

Sent from my SM-N9200 using JamiiForums mobile app
 
Mimi kupaka lipstick na kuvaa suruali siviwezi

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
Lipstick napaka kiasi ila dakika 20 ni nyingi yote imefutika sijui huwa nalamba hata sielewi
 
Kuvaa wigi na wivin nilivaa wakati wa kipaimara . ...
Kufuga kucha na kubandika yani hata za miguu huwa nakuta vipisi tu na maumivu zimekatikia wapi hata sijui natembea miguu baja ha haha ...

Kuongeza kalio yani nimeletewa dawa mpaka na shuhuda mi hata hawanishawishi wameishia kuniita pasi na mbahili.. niongeze kalio halafu iweje Acha niendelee kutikisa mgongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani eti kutikisa mgongo

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
1.Kuweka nywele dawa,
2.kuvaa cheni,
3.kupakaa mafuta makali,
4.kupakaa poda,wanja,
5.kufanya scrabu

Nimeshindwa labda na imani imechangia.


Sent from my SHV-E250S using JamiiForums mobile app
Hadi scrub we umenizidi teh
 
Yaani wewe upo kama mimi namba 2,3,4 na 5 vyote vilinishinda
kupaka Angel face n fundition vyote hivyo vimenishinda.

jaribu kutumia mafuta ya nazi lakini upike mwenyewe kama unajua.Ni mazuri sana kwa nywele za asali.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app


hata zenye dawa mie nina mwaka nimehamia huku ya asili nywele inakuwa nzitoo na nyeusi! alafu hakuna suala la mba! sio radiant ilinishnda!
 
Back
Top Bottom