Mm tuanza na nywele nilikuwa mpenda kushonea weaving Sanaa kwa sababu nywele zilikuwa fupi but now nimeacha hata weaving fupi sishonei, pia napenda kuvaa wegi lakini nashidwa kwa sababu ya joto,kuwashwa kichwa pia likinugisa usoni tu na Yale mafuta napata rashes za kutosha,so mm huwa nasuka Rasta tu tena co kila mtindo sanasana ni mabuntu na yebo au maranyingi huwa nabana nywele zangu tu coz ni ndefu so huwa nabana mitindo tofauti(tena mbichwa unakuwa mkubwa pale watu wakinishangaa na kusifia kuwa na nywele ndefu)
Usoni huwa napaka mafuta ya nazi na enjoface wanja kwenye nyusi huwa Mara chache Sanaa tena wanja wa brauni...Mara nyingi napenda kutinda nyusi zinapendeza Sanaa coz Nina nyusi nyingi huwa natinda style ya wanja wa lulu,macho yangu ckipaki chochote zaid ya kuhakikisha ni masafi muda wote haukuna matongotongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mdomoni sasaaa napenda Sanaa kupaka [emoji168] ya maruni huwa inanipendeza na kunifanya nijiamin mnoo.....kitu nisichosahau kwamwe ni kuvaa hereni tena fupi napenda snaa kuvaa hereni.Cwezi kuvaa hereni ndefu na sio mpenzi kabisaaa wa hereni za kuning'inia.
Niliwahi kubandika kucha za bandia nikajikwaa kucha yangu ikavunjika niulimia mnoooo ckuweza kuvaa kitu cha kufunika kama wiki2,tangu cku ile cjawah na ctamani kubandika tena hata kwenye mikono mm huwa natengeza kucha zangu na kupaka rangi japo ni fupi but huwa napenda.
Kuchora tatoo,kuvaa vikuu,cheni kiunoni ni vitu ambavyo cjawah kuvifikiria wala kupanga kuja kuvaa au kufanya, Pete niliwahi kuvaa wakati napika ikapata Moto ikalege ikawa inanivuka nikabadilisha kidole kingine nilivyomaliza kupika kumbe ikapoa so ikabana zaidi wee nataka kuvua kwani inatoka ilikuwa balaah,mpaka leo cpendi Pete tenaaa.
Cheni nikivaa nikipita juani inaniunguza na kufanywa niwashwe sanaa
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app