Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

Me mwenzenu kuvaa sidiria sipendi kwa kweli, I love niwe free.
 
Urembo unapendana na urembo ...kuna tofauti ya kupenda muziki wakati mziki haukependi...[emoji16]

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Nenooooo
Na wale wanaojipodoa hadi waonekana kama majini nao wapendana na urembo kumbe?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
Kufuga kucha za mikononi nilishashindwaa... Na wig sjui weaving siwezi
 
Hahahahahahahahahaaaaaaa yaani kicheko nilichocheka sitocheka tena hadi jioni... Sasa utapingana na tafiti zangu kwamba mwanamke hata awe mbaya sehemu zote mwilini mwake ila unapokuja ktk paja kuna kitu anakirimiwa... Kuna zile asilimia 0.001 za kundi hili ambao kunakuwa na vimichirizi ila stili paja ukilishika lina mambo yake kunako antena za kiume.... Ila wanasemaga wachoraji wengi ni wanaume wa kwenye kideo.....Hahahahahahahaaaaaaaa
Labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mm langu halina ladha kabisa

Sent From my C5 wereva
 
Urembo unapendana na urembo ...kuna tofauti ya kupenda muziki wakati mziki haukependi...[emoji16]

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa, kuwa u Mrembo na unajipodoa..... Post yangu sijadiss urembo wala kujipodoa ila nimesema mie urembo umenishinda ni hayo tu
 
Yeah, rasta mla nyama.... 😀

Daaah ngoja nije PM fasta nisiharibu uzi

Hata kama unakula samaki alimradi una rasta za asili zile za kihabeshi nakupa godown langu tegeta gari na nyumba ya urithi na moyo wangu kwenye kisosi kabisa hahaaa
 
Mm tuanza na nywele nilikuwa mpenda kushonea weaving Sanaa kwa sababu nywele zilikuwa fupi but now nimeacha hata weaving fupi sishonei, pia napenda kuvaa wegi lakini nashidwa kwa sababu ya joto,kuwashwa kichwa pia likinugisa usoni tu na Yale mafuta napata rashes za kutosha,so mm huwa nasuka Rasta tu tena co kila mtindo sanasana ni mabuntu na yebo au maranyingi huwa nabana nywele zangu tu coz ni ndefu so huwa nabana mitindo tofauti(tena mbichwa unakuwa mkubwa pale watu wakinishangaa na kusifia kuwa na nywele ndefu)

Usoni huwa napaka mafuta ya nazi na enjoface wanja kwenye nyusi huwa Mara chache Sanaa tena wanja wa brauni...Mara nyingi napenda kutinda nyusi zinapendeza Sanaa coz Nina nyusi nyingi huwa natinda style ya wanja wa lulu,macho yangu ckipaki chochote zaid ya kuhakikisha ni masafi muda wote haukuna matongotongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mdomoni sasaaa napenda Sanaa kupaka [emoji168] ya maruni huwa inanipendeza na kunifanya nijiamin mnoo.....kitu nisichosahau kwamwe ni kuvaa hereni tena fupi napenda snaa kuvaa hereni.Cwezi kuvaa hereni ndefu na sio mpenzi kabisaaa wa hereni za kuning'inia.

Niliwahi kubandika kucha za bandia nikajikwaa kucha yangu ikavunjika niulimia mnoooo ckuweza kuvaa kitu cha kufunika kama wiki2,tangu cku ile cjawah na ctamani kubandika tena hata kwenye mikono mm huwa natengeza kucha zangu na kupaka rangi japo ni fupi but huwa napenda.
Kuchora tatoo,kuvaa vikuu,cheni kiunoni ni vitu ambavyo cjawah kuvifikiria wala kupanga kuja kuvaa au kufanya, Pete niliwahi kuvaa wakati napika ikapata Moto ikalege ikawa inanivuka nikabadilisha kidole kingine nilivyomaliza kupika kumbe ikapoa so ikabana zaidi wee nataka kuvua kwani inatoka ilikuwa balaah,mpaka leo cpendi Pete tenaaa.

Cheni nikivaa nikipita juani inaniunguza na kufanywa niwashwe sanaa

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom