Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

Kama tumerithi hii tabia, na mimi ivo ivo!

brain is the beautiful part of the body.

mhh tuseme wake zenyu hawavai wigs au mnangea tu hapa kujikosha! wig ni mhimu kwa mwanamke morden yyt yule ila inategemea na aina ya wigi! angalia km juzi mke wa mkulu yale manywele me hata nisingekubai kwenda chatlle! yeboyebo imefumuka imesimama balaa! kha! angefumua akatupia wig angependeza!
 
Kujibadili kwa namna yoyote yaan mambo artificial sijui fake yaan siwezi. Nimeridhika na uumbaji wa Mungu.
 
Labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mm langu halina ladha kabisa

Sent From my C5 wereva
Chakujifunza ni kwamba pipi haijui utamu wake, na tumbo haliendelei kupata utamu wa pipi baada ya kumezwa....Hahahahahaaaaaaaaaa
 
mhh tuseme wake zenyu hawavai wigs au mnangea tu hapa kujikosha! wig ni mhimu kwa mwanamke morden yyt yule ila inategemea na aina ya wigi! angalia km juzi mke wa mkulu yale manywele me hata nisingekubai kwenda chatlle! yeboyebo imefumuka imesimama balaa! kha! angefumua akatupia wig angependeza!
Wa kwangu havai huo uchafu, yeye huwa anapunguza tu zinakuwa fupi anaziosha na kuweka mafuta basi, na saa ingine anafunga kitambaa maana mara nyingi ni mvaaji wa vitenge.

Nahisi hii ya mavigi inawahusu wavaa suruali na vinguo vya kutaiti mili.

brain is the beautiful part of the body.
 
Mimi sipendi mwanamke mwenye kuvaa minguo mingi. unakuta mtu kavaa kyupi, skin taiti kisha suruali ya jinzi juu, sasa ukute na tojo la saridalamu, mpaka maku ina kanu vibaya.
Htr!!

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom