Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #241
Utakua hujanipata vema....hahha duh we ni wa kanda ya dhiwa na umesema huna msambwanda?ni wachache sana bas
Kanda ya ziwa misambwanda ndo kwao, mama hakuninyima😛😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua hujanipata vema....hahha duh we ni wa kanda ya dhiwa na umesema huna msambwanda?ni wachache sana bas
Kuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo....
1: kupaka wanja kwenye nyusi
Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa wanja mweusi, basi nikijaribu kupaka nafuta naendelea na mambo mengine, mara chache nimejaribu wanja wa brown napaka kwa mbaaali naona unakuja kuja mdogo mdogo ntaweza.
2: kuvaa wig/kushonea weaving
Hapa nimeinua mikono, wig nilivaa mwaka flani wakati naanza kusokota dread siwezi kwenda kazini vile, nikanunua wig kwanza dukani tu naambiwa linauzwa elf 25 nikashtuka nlijua buku ten, nikanunua nikavaa mmh najiona nakua kama kanjibai, linawasha, lina joto nlipata shida, nywele zilivorefuka sijarudia tena huu urembo siuwezi kabisa.
3: kubandika kucha
Nilijaribu siku moja kutoa ushamba, naona shost angu kila siku anabandika anapendeza, akanipeleka namie nikabandika mmh siku hiyo hata kutandika kitanda nilishindwa, kuchomeka shuka kwenye godoro ikawa tabu, siku chache nikazoea, siku ya kuzibandua sasa yani zinang'olewa utadhani nimetekwa nlikua na kazi ya kupiga kelele kama kimbwa, sirudii tena sitarudia kabisa.
4: kubandika kope
Hii kujaribu tu siwezi make, nikiwaona kina mwajuma ndalandefu wanavokua huwa nacheka, kope zinasimama utadhani mtu kavaa kofia, yana wenyewe haya
5: kupaka cream/kujichubua
Hii kazi ya kujipa mateso hii, uso mweupe miguu myeusi, kuna siku nliwekewa maji ya cream bila kujua ushamba huu, nimeulizwa tu niweke maji nkajibu eeh weka nlijua labda glycerin, duh siku mbili tu nkaanza kuwa kama tumbili....
Wewe huwezi nini?
Nb: naombeni mniambie mafuta ya nywele natural, naona nywele zinakatika
Hapana mkuu, nikuone jinsi ulivyo tu yani kimuonekano wako,uone mgongo au?
Bora hata wewe mara tatu, mie weaving sijawahi kushoneaNadhani mimi na wewe ni wamoja kabisa kuna ambacho hata kujaribu haitaokea..... kucha, kope, nilivaa wigi nadhani hazifiki hata mara 3 nilishwahi shonea weaving mara 3 na sidhani kam aitarudia tena kamwe
sema wewe una dread lock hilo pia kwangu kamwe sitalifanya......
sawa mkuu nitafanyia kaziHapana mkuu, nikuone jinsi ulivyo tu yani kimuonekano wako,
Nitashukuru sana mkuu, kama utojali naomba iwe kesho?sawa mkuu nitafanyia kazi
mmh kesho hapanaNitashukuru sana mkuu, kama utojali naomba iwe kesho?
Ndiyo, kwa sababu nikichelewa chelewa utabadili maamuzi.mmh kesho hapana
ha hahah nitakuambiaNdiyo, kwa sababu nikichelewa chelewa utabadili maamuzi.
Njoo PM tupange sehem ya kukutania mkuu.ha hahah nitakuambia
hayaNjoo PM tupange sehem ya kukutania mkuu.
evelyn salt njoo Pm tufahamiane kidogoNapenda....
Kuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo....
1: kupaka wanja kwenye nyusi
Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa wanja mweusi, basi nikijaribu kupaka nafuta naendelea na mambo mengine, mara chache nimejaribu wanja wa brown napaka kwa mbaaali naona unakuja kuja mdogo mdogo ntaweza.
2: kuvaa wig/kushonea weaving
Hapa nimeinua mikono, wig nilivaa mwaka flani wakati naanza kusokota dread siwezi kwenda kazini vile, nikanunua wig kwanza dukani tu naambiwa linauzwa elf 25 nikashtuka nlijua buku ten, nikanunua nikavaa mmh najiona nakua kama kanjibai, linawasha, lina joto nlipata shida, nywele zilivorefuka sijarudia tena huu urembo siuwezi kabisa.
3: kubandika kucha
Nilijaribu siku moja kutoa ushamba, naona shost angu kila siku anabandika anapendeza, akanipeleka namie nikabandika mmh siku hiyo hata kutandika kitanda nilishindwa, kuchomeka shuka kwenye godoro ikawa tabu, siku chache nikazoea, siku ya kuzibandua sasa yani zinang'olewa utadhani nimetekwa nlikua na kazi ya kupiga kelele kama kimbwa, sirudii tena sitarudia kabisa.
4: kubandika kope
Hii kujaribu tu siwezi make, nikiwaona kina mwajuma ndalandefu wanavokua huwa nacheka, kope zinasimama utadhani mtu kavaa kofia, yana wenyewe haya
5: kupaka cream/kujichubua
Hii kazi ya kujipa mateso hii, uso mweupe miguu myeusi, kuna siku nliwekewa maji ya cream bila kujua ushamba huu, nimeulizwa tu niweke maji nkajibu eeh weka nlijua labda glycerin, duh siku mbili tu nkaanza kuwa kama tumbili....
Wewe huwezi nini?
Nb: naombeni mniambie mafuta ya nywele natural, naona nywele zinakatika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuvaa wigi na wivin nilivaa wakati wa kipaimara . ...
Kufuga kucha na kubandika yani hata za miguu huwa nakuta vipisi tu na maumivu zimekatikia wapi hata sijui natembea miguu baja ha haha ...
Kuongeza kalio yani nimeletewa dawa mpaka na shuhuda mi hata hawanishawishi wameishia kuniita pasi na mbahili.. niongeze kalio halafu iweje Acha niendelee kutikisa mgongo
Hiyo ligi ya kupak wanja looh kama kun mwalimu humu anifundishe khaa natia aibuWanja najaribu jaribu, kucha hapana nlivoumizwa siku ile sirudii, afu ilikua kutoa ushamba tu nna kucha ndefu za mikono na miguu hata sina haja ya kubandika
Princess arian jitoleee kunifundisha shoga ako nami nijueKupaka wanja wa Sina bwana siwezi ila wa Lulu ni master.
Kuvaa Half naked - hiki kitu nakishindwa siku zote.
kibandika makucha marefu kama akina watu maarufu - siwezi kabisa
nikibandikaga zamani kipindi nmemaliza shule ila nilikua nazikata zknafanana kama kucha ndogo, ila now days nna kucha zangu natural safi kabisa.
Kuvaa Cheni - katika urembo nisiouweza ni kuvaa cheni na pete. Hali kadhalika na vikuku ndio mavichukia haifai
kubandika kope natokaga tongotongo la hatari
Nilibandikaga mara moja wakati nna course ya Makeup
Sent From my C5 wereva
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke anayebandika kope halafu ukaziona hizi kope za kubandika anatisha kuliko shetani aliyeamshwa ghafla kutoka usingizini.
Hahahahahaaa..umenifurahisha kweli..njoo nikugawie langu ogKuvaa wigi na wivin nilivaa wakati wa kipaimara . ...