Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

hahhaha jaman mwenzako nakula nitapaliwa bure ! hahaha level ya mbutananga jaman si level za nchii hii jaman! nikikumbuka yae machupi uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile miguu yake ndani ya heels halafu ananyanyua mguu na kupiga picha kwa nyuma! [emoji28]

Halafu kuna watu wanaogopa kuvaa heels, asee kuna umuhimu sana wa kuwa na confidence kama ile.
 
Mwanamke anaevaa wiki hata awe mzuri vp simtaki

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Inategemeana na wewe uko vipi ndio maana unasema hivyo acha wajirembe tuwaone kwa ukaribu tu na wewe naki hivyo hivyo usiwashitue maana hatuta chepuka

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Woii humu kila mtu natural aisee..mambo ya unatural unaiachia misitu..mwanamke urembo bana....utaezaje kutofautishwa na kaka zako..
wig yes navaa ninazo za aina nne.. fupi..ndefu.curl..ingine nimeshindwa kuidescribe,, hahah ila siyo yale ya kung'aa k.koo buku 10 no ni zile waweza feel human hair..
kucha sibandiki coz nimejaaliwa ndefu na ngumu
wanja..aisee siez toka ndani bila kupaka teh teh hadi msibani
lipstic oh napenda mno haswaa zile za rangi za oriflame..
mavazi navaa yote yote ilimradi sivunji sheria za nchi...
poda mhh hapo inategemea maana ngozi yangu uso haitaki mambo mengi rahisi kuhumuka haha pale ninapopaka boda chenga....nimejizoesha kupaka sleek nanunuaga Atsoko maana za k.koo uchelewi kupewa ya kichina uso ukatokewa na chunusi kama fenesi!
Ni hayo tu maoni yangu! ukiniquote ufala utafurahi..am too real sipendi kufake life!hahha
 
nice to knw u!
 
hebu tueleze na ww wigs zako zinanukaga kias cha kumkera shemela?
 
Back
Top Bottom