MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Haha la kurudi nyuma kama masanja anavyofanyaga mmh
hahhhha ewaaaaaa hilo hilo hahahahaha uwiiii nakufa mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha la kurudi nyuma kama masanja anavyofanyaga mmh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahhaha jaman mwenzako nakula nitapaliwa bure ! hahaha level ya mbutananga jaman si level za nchii hii jaman! nikikumbuka yae machupi uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
hahaha ila lile jingine jaman ni baya! lile km unayarudisha nyuma hv au la kuingia ndan magoti yagongane!kha! kwa mwanamke halifaiiiiii
Haha la kurudi nyuma kama masanja anavyofanyaga mmh
Haha, hilo inabidi usiwe mzito, maana hapatakalika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shoga ako Kaoge anavaa...
Hata kwa mwanaume! Halafu hao wa magoti kugongana wana mbio hatari [emoji3] [emoji3] [emoji3]hahaha ila lile jingine jaman ni baya! lile km unayarudisha nyuma hv au la kuingia ndan magoti yagongane!kha! kwa mwanamke halifaiiiiii
Hata kwa mwanaume! Halafu hao wa magoti kugongana wana mbio hatari [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji1] Nimewaza hiyo position ya usafiri halafu iwe imebeba kitu kizito..hahahahahhaaha ila wewe kha unawazaga nn hahahaa
Hata kwa mwanaume! Halafu hao wa magoti kugongana wana mbio hatari [emoji3] [emoji3] [emoji3]
hahhaha nimecheka ghafla eti mbio! hahaha!yaan huwa sitaman ht kuangalia! unakuta kanyuka modo yake arrrghhhhhhh
[emoji1] Nimewaza hiyo position ya usafiri halafu iwe imebeba kitu kizito..
Lakini nyie!, ndani ya modo halafu na mbio tena! [emoji2]
[emoji2] kwa kweli, sipati yalivyogongana halafu yanakatiza mbuga..hahhaa ngumu kupata picha
[emoji2] kwa kweli, sipati yalivyogongana halafu yanakatiza mbuga..
Woii humu kila mtu natural aisee..mambo ya unatural unaiachia misitu..mwanamke urembo bana....utaezaje kutofautishwa na kaka zako..
wig yes navaa ninazo za aina nne.. fupi..ndefu.curl..ingine nimeshindwa kuidescribe,, hahah ila siyo yale ya kung'aa k.koo buku 10 no ni zile waweza feel human hair..
kucha sibandiki coz nimejaaliwa ndefu na ngumu
wanja..aisee siez toka ndani bila kupaka teh teh hadi msibani
lipstic oh napenda mno haswaa zile za rangi za oriflame..
mavazi navaa yote yote ilimradi sivunji sheria za nchi...
poda mhh hapo inategemea maana ngozi yangu uso haitaki mambo mengi rahisi kuhumuka haha pale ninapopaka boda chenga....nimejizoesha kupaka sleek nanunuaga Atsoko maana za k.koo uchelewi kupewa ya kichina uso ukatokewa na chunusi kama fenesi!
Ni hayo tu maoni yangu! ukiniquote ufala utafurahi..am too real sipendi kufake life!hahha
merci.😛nice to knw u!