UREMBO, UTANASHATI NA USAFI WA KINA KATIKA MAPENZI IWE NI LAZIMA SIO KWA NJE TU, BALI NI MUHIMU SANA KWA NDANI PIA, NA INAPENDEZA ZAIDI.

UREMBO, UTANASHATI NA USAFI WA KINA KATIKA MAPENZI IWE NI LAZIMA SIO KWA NJE TU, BALI NI MUHIMU SANA KWA NDANI PIA, NA INAPENDEZA ZAIDI.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi.

Mpenzi akichojoa mavazi yake, marashi husalia kwenye nguo zake, akiwa yeye sasa kama alivyozaliwa tetemeko la kero ya mabadiliko ya ghafla ya hali ya hewa mbovu huanza. Na hilo ndilo hasa nakumbusha mkalitizame upya ndrugu zangu.

Ni katika kukumbushana tu ndrugu zangu, kuna kujisahau, kuchoka au mazoea yamezidi kidogo. Ni muhimu usafi ukazingatiwa 🐒
 
Back
Top Bottom