Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
urembo mzuri ni ule usiokuhamisha sana kwenye uhalisia wako, unatakuwa ukufanye uonekane natural beauty. my dad once told me, ukijiremba unatakiwa ujirembe kiasi ambacho mwanaume akikuoana aseme huyu dada ni mzuri, ana ngozi nzuri, na sio agundue upo fake
No no nooh asikuongopee mtu! Brazilian,Indian Hair na Remy Hair hizo ndiyo nywele bora duniani sema tu inategemeana wewe unapendelea style gani na mfuko wako ukoje. Hebu mwangalie huyu dada alivyopendeza na kitu cha Remy Hair
No no nooh asikuongopee mtu! Brazilian,Indian Hair na Remy Hair hizo ndiyo nywele bora duniani sema tu inategemeana wewe unapendelea style gani na mfuko wako ukoje. Hebu mwangalie huyu dada alivyopendeza na kitu cha Remy Hair
I can imagine your dad telling you so........that was when!!!!!!!!!!!!!!!
kwa kweli kuna watu wanazidisha Make Up sana hadi uhalisia wake unapotea kabisaa
when I tried to apply creams usoni kwangu. nilipokuwa Alevel kulikuwa na ka-tube flani ambacho wadada wenzangu wengi walikuwa wanatumia ple hostel. dingi aliona mabadiliko, kwa upole akaniambia mwanangu una ngozi nzuri, usiiharibu (ukizingatia nilikuwa natumia sabuni ya kufulia kwa kuogea smtms napaka baby care)
nafikiri tokea nipate yale maneno ya baba wkt ule, sijawahi tena kutumia vipako vya kung'arisha ngozi
Mbona hiyo elfu 40 au elfu 50 ni ndogo sana kwa mwanamke kutengenezwa nywele salon? Hivi unajua kuwa kuna misuko hadi ya Tshs 200,000 na watu wanalipa?
MillionHairs,nawezaje kuzuia nywele kukatika(any tips maybe) cz napenda kusuka weave katikati au kuacha nywele za mbele,i wish ningekuwa naweza suka weaving tuu all along bila kukata my own hair