Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

nyie wanaume ndio mntufaya hivyo tukinyoa mnakimbilia kwenye nywele ndio mvumilie hyo shombo
 
Mleta mada, siyo mbaya umejitahidi.

Lakini yakupasa utambuwe kuwa kuna tofauti ya uzuri na urembo.
 

Mbona hiyo elfu 40 au elfu 50 ni ndogo sana kwa mwanamke kutengenezwa nywele salon? Hivi unajua kuwa kuna misuko hadi ya Tshs 200,000 na watu wanalipa?
 

Ahsante...Daima urembo umuweka mwanamke juu.
 
Wanaume Wengi huwa atuangalii nywele kama kigezo..muonekano na tabia that's all..me huwa nashangaa wanajicomplicate na mawig it utadhan father xmas...bora kusuka or a simple haircut au aweke dawa lakin sio hiyo mi lance wig sijui..we are fully aware it's fake!!..unakuta ukimgusa tu kichwa ugomvi..kila saa kujitikisa kichwa sijui ndo pozi yani huwa nabaki hoi!!
 
Mbona hiyo elfu 40 au elfu 50 ni ndogo sana kwa mwanamke kutengenezwa nywele salon? Hivi unajua kuwa kuna misuko hadi ya Tshs 200,000 na watu wanalipa?

duhhhhhhhhhhh me sijafika level hizo bado naanza na 20 huku uswazi kwetu
 
Ni wanawake wa kiafrika hawajiamin kabisa,yan hawajiamin,wameweka jitihada zao kubwa kwenye nywele wakiamin zitawafanya waonekane warembo zaidi kumbe wengne wanajiharibu,unakuta mtu na liwig lake minywele cjui imekaaje anaonekana kama mzimu,kama nyumbu,zinakaa wik hazioshwi na jasho la hapa mjin daslam,vijana weng wanalaum wanawake wao nywele zinanuka.
 

Mkuu,wala siyokutokujiamini au ni wabaya sana kwa sura...huwezi kumtenganisha mwanamke na urembo.
Enzi na enzi mwanamke anavijinasaba vya kupenda urembo,na hii siyo wanawake wa Bongo tu bali ni wa ulimwengu wote.
 

Twende taratibu mkuu...kwanza urembo wa nywele haufanywi na mwanamke wa Kiafrica pekee bali urembo huu unafanywa na wanawake wa kizungu,kiarabu,kichina na wengine wengi.

Ukiona mwanamke amevaa wigi au kashonea weaving na anaonekana kama mzimu au nyumbu ujue hiyo weave au wig lake ni fake I mean ni synthetic au ni fiber hair...lakini kama ni human hair weave au wig ni lazima atoke chicha na kwa muonekano mzuri. Pia kumbuka original human hair weaves haiwashi hata kidogo...yanayowasha na kukera kichwani ni hayo mafiber na masynthetic hair.
 
mhh kutaka nywele uwe na STYLE MOJA all the time INABOA mbona...smtym watu hapa sio kwamba tunapenda marasta sana bt nywele za kiafrika kama zangu hazirefuki kivileee japo unaweza bana lakn mhh sipendi short hair myself,labda niweke mirija,so mtu unaweka weaving kuongeza urefu,na kusuka rasta kuzikuza nywele zako
La msingi ni USAFI WA HZO NYWELE, kuwa selective na style ambazo kila wiki unaweza osha nywele
U'fake ukizidi sio siri inachukiza,..unakuta mtu mweusii af katupia weaving la gold,mhh,au lacewig hzi fake jistari kabisa tunaliona kwenye forehead,haipendezi
 

kwelii shoga,..weaving natural huwa chache af jepesi kama nywele zako halisumbui...
Wazungu ndo masters mbona wa ma'extension,sie tumeletewa tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…