Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Labda ungeleta na picha ya huyo uliyemkuta na shanga 10 kiunoni na sie tushuhudie....au ni habari ya kufikirika
 
labda ungeleta na picha ya huyo uliyemkuta na shanga 10 kiunoni na sie tushuhudie....au ni habari ya kufikirika
hiyo hapo..!!
 
Attachments

  • mweee!!.jpg
    mweee!!.jpg
    3.4 KB · Views: 1,389

Attachments

  • 1438343673342.jpg
    1438343673342.jpg
    5.6 KB · Views: 1,290
Last edited by a moderator:
Kifupi coni raha yake japo wengi uzizifia mno asa guy ukuta mwingine anakuuliza eti unashanga jaman hii nilishuudia kwa macho yangu nikiwa kwenye daladala nikitokaea magomeni kwenda mikocheni kuna sehem kuna mama akitokea siti ya mwisho kwenda mbele ili asuke bc izo shanga zilipanda juu kibao mingine mikubwa zilizochanganyika lkn nilikuwa chafu mno bc wamama wakaanza kugomba mno juu ya ile aibu binafsi coni raha ya kuwa na shanga nyingi kiunoni
 
Hujapata wa kukuelekeza jinsi ya kuzitumia. Hata Mimi Nilikuwa sina interest nazo na sikujua faida yake zaidi ya kuchukulia kuwa ni madoido tu ya kinadada wasiojitambua hadi kipindi Fulani Nilipokutana na mdada kutoka mahali fulani. Nazipenda Kwa kweli ila mvaaji na mwenzi wake wajue kuzitumia.
 
Wingi wa shanga za kiunoni ndio ukubwa wa shughuli😇😋
 
Back
Top Bottom