Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
sijawahi kufundishwa
mi nadhani nachojua ni kimoja tu so far ukiolewa lazima uwe nazo
hhahhah matumizi sijui ila kwa kiswahili kidogoo nasikiaga wadau wakisema ukivaa shanga ujue kukata
- Hapa ni taswira za shanga miguuni, shingoni na mikononi
- Kuna taswira nyingi tu za shanga kiunoni kimaadili siwezi kuweka hapa vinginevyo pasingetosha kabisa
Waafrika hasa wabantu akina mama tamaduni nyingi kimapokea huvaa shanga. Wasiovaa ni wale wa born city wanaosujudu tamaduni za kizungu, lakini wanaopenda kudumisha mapokea hupendelea kuvaa.
Iwapo wanawake wanajisikia vizuri kuvaa heleni na sidiria vitu vya kuiga toka kwa wazungu, kuna shida gani wanapojisikia vizuri kuvaa shanga, tena wanaume au wapenzi/waume zao wanaposikia kheri kuwaona wamevaa shanga?
