Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Napenda Wife Avae Ila Naogopa Nitamwanzaje Mana Swali Litakuja!! Je Uliona Wapi Na Nani Kavaa?,

Nimecheka sana. Mii nlikuja na style mpya kutoka safarini, nikaulizwa: hii nayo ilikuwepo ktk training huko? Kilichofuata sasa!

Mkuu usisubutu kamwambia shem! Tafuta jarida au gazeti lenye hiyo mada, kaa msome ote!
 
Nimecheka sana. Mii nlikuja na style mpya kutoka safarini, nikaulizwa: hii nayo ilikuwepo ktk training huko? Kilichofuata sasa!

Mkuu usisubutu kamwambia shem! Tafuta jarida au gazeti lenye hiyo mada, kaa msome ote!

daah ni kweli manake huo ugomvi utakua ni wa kukata na shoka,yaani Kwanza Pale Kwe Kuanza Kumwambia Ni Mziki
 
zina ssmua mwili.hasa mm nikiziona duuuh naingia mzigo hata mara 3 bila kuchoka zina ladha yake jmn.nilimnunulia tu wife nikampa avae km urembo akuuliza maana nilinunua mbele yake.nunua uone ladha.
 
Salaam kwenu wanaJF wote popote mlipo. Amani iwe nanyi.


Nimekuwa kwenye mahusiano ya takribani miaka mitatu(3) sasa na msichana ambaye awali alikuwa yupo chuoni ila kwa sasa ni mfanyakazi taasisi fulani hivi (jina kapuni). Amepangiwa nje ya MKOA wa DAR nilipo.

Tulipoanza mahusiano haya hakuwahi kunionyesha anayonionesha hivi sasa.

Amekuwa akipost pictures mbalimbali akiwa amevaa ''vimini'' na ''vishanga (vikuku)'' mguuni.

Nimejaribu kumuuliza nini MANTIKI ya hizo picha, kanijibu eti "mbona kawaida tu.

NIPO SO FRUSTRATED; ISIJE IKAWA KAANZA KALE KATABIA... MAANA NILISHA MTAMBULISHA KWA BAADHI YA NDUGU.
 
pole sana ...umechanganywa na mabadiliko...mwambie asivae tena....
 
...kibaya zaidi hizo pictures anazo post zinaonesha yupo comfortable kabisa mahali anakopita.. so sad!!!
 
Lakini kwa Baadhi ya Wanawake Huo Ni Urembo na Haumaanishi Hilo ambalo umeliwaza Mkuu... Mbona Humu ndani Kuna Wadada Wengi wanavaa na Hawapo katika Hicho unachowaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…