Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Wanajamvi siku za karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la akina dada kuvaa kikuku au vikuku miguuni (vingi vya ushanga au gold ya kiingereza).

Naomba mnijuze maana halisi ya urembo huu. Nasikia maana hutofautiana kutokana na mguu uliovalishwa huu urembo.

Wataalam msaada tafadhali.
 
Sisi wamasai tuna vaaga tu kama urembo.. Sijui kwa wenzetu kama kuna maana zaidi ya hapo
 
Uvaaji wa vikuku ni urembo kama ulivyo urembo mwingine wa kuvaa babgili mikononi au hereni masikioni,kwa kweli miguu inapendeza haswaa!
Naamini kabisa watanzania wengi twavaa kama urembo na haumaniishi chochote.
 
Hakuna kitu ka hicho.

Iko hivi... Demu akivaa kikuku, anamaanisha yeye ni mtu wa aina Fulani kingono.

Akivaa mguu wa kulia.. Anajiuza/Kahaba

Akivaa mguu wa kushoto.. Anafanya mapenzi kinyume na maumbile (though anaweza akawa hajiuzi)

Akivaa yote.. Anajiuza na kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
 
Ni urembo tu kama Cheni, hereni, bangili...... Huyo mwenye maana nyingine anajua mwenyewe
 
aina ya uvaaji wa mazagazaga hayo inafanywa na wanawake wenye hobby ya maisha ya taarab ..inayoashiria mambo ya ushabiki, uswahili na ushangingi wa ki mjini. hasa wanawake wa kipwani wenye elimu na upenyo finyu.
 
DINA2.jpg
 
Unapo vaa kitu chunguza, usiseme oo ni urembo tuu , wakat jamii ina kutafsir vngne
 
Back
Top Bottom