Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Makabila ninayoyajua mie ambao wanachezwa, Wazaram, wandengereko, Mtwara na Lindi, Tanga hao ndo ninao wafahamu mimi ila sasa kila kabila lina ujanja wake lakin lengo linakuwa ni moja.
Ww hujachezwa?
 
nazipenda sana we vaa mdada ila uzidhishe sita,weka mchanganyiko red,blue,purple,green
 
Yeah tena Zanzibar pale Mchambawima.

Wakuu mbona hamjifunzi, huyu mtu ameletwa mara kadhaa hapa,

USHAURI WANGU:
Usitume pesa wala kufanya biashara za Jf au kupatana bila ya kuona bidhaa physically, kama mtu yuko mbali na labda hauna mtu wa kukuhakikishia juu ya uwepo wa bidhaa hiyo USINUNUE haijalishi ni bei rahisi kiasi gani.


Unaonekana wewe ni mtaalum wa sector hii
Zile ambazo wanavishwa kwenye Makabila ambazo wanaanza kuwavisha wakiwa wachanga si shanga kwa ajili ya mwanaume, jampo zote ni shanga, zile wanawavisha watoto wa kike wakiamini kwamba mtoto atagawanyika vizuri kiunoni, yani ni kama wanamtengeza umbo la kike, shanga ambazo wanakabidhiwa kwa ajili ya mwanaume ni pale anapovunja ungo, akienda kuchezwa kule ndo anakabidhiwa shanga kulingana na mafunzo aliyofuzu kwa lugha nyengine wanaita mizungu,

Yani wakati wa yale mafunzo huwafunza pia jinsi ya kukatika viuono hali yakuwa ana mtu juu, kwa mfano analala chali (kifo cha mende) halaf wale manyakanga mmoja anampandia juu mfano wa mwanaume na chini anawekewa kisaani cha chai kina kaa la moto ina maana atakatika kwenda juu na kurudi chini hagusi chini wakati huo huo anaekewa shanga nyuma ya kichwa chake sasa hapo itategemea na huruma ya manyakanga kama utaekewa chini au nyakanga mwengien atasimama nayo uichukue kwa ulimi, hali yakuwa unakatika ukiipata unahesabiwa ya kwanza.

Unawekwa style nyengine na zoezi ni hilo hilo kuziokota shanga kwahiyo unaweza toka hata na shanga 5 au 6 juua wewe si mchezo, achana na vidada vya sasa mtu anaenda kwa mmasai anavaa tu hata 20 n.k.
 
Kwani huwa zinaongeza nin nikwamba kuna mautamu yanayo ongezeka au???.
 
Shanga ni kachumbari tena yenye pilipili mbuzi kwenye tendo, kama pilau bila kachumbari sio tamu,shanga ni catalyst wale walio soma chemistry wanaelewa nini maana ya catayst.
 
Jamani hivi uvaaji wa shanga ni ushamba wa kizamanii au ndo maraha? Natamani kuzivaa ila naogopa nitaonekana mshamba na nimezinunua tayari.

Ushauri wenu wa bure na sitaki matusi wala dharau kama vepe unaweza uka pita mdogo mdogo[emoji124] [emoji124] [emoji124]

Kule nyumbani Zanzibar wanawake c sana kuvaa mashanga huu utamaduni mara nyingi ni kutoka bara ata hao wazungu nadra sana kumkuta mzungu amevaa shanga, alaf mimi ci dhani kama zinazidisha au kupunguza chochote zaidi kinachonivutia ni namna gani mke wangu nilivyompenda kutokana na maumbile yake natural.

Asikudanganye mtu ufundi wako kitandani ndio bora zaidi kuliko hiyo mizigo ya mashanga kama mchawi, kuwa mbunifu kwa mumewako atakupenda zaidi kuliko hayo mashanga mashanga.
 
Back
Top Bottom