Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Nne je kwani nyingiii.... from ur experience with different colour
Mi nying sizipendi naona kama uchafu!! Ila moja tu iwe na rangi rangi daaah!! Tutatafuta ubaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nne je kwani nyingiii.... from ur experience with different colour
Sawasawa mkuuTatzo unazvalia surual...shanga vaz lake co surual
vaa kala zote, ila usivae kala za kile chama aiseee!Nne je kwani nyingiii.... from ur experience with different colour
Ww hujachezwa?Makabila ninayoyajua mie ambao wanachezwa, Wazaram, wandengereko, Mtwara na Lindi, Tanga hao ndo ninao wafahamu mimi ila sasa kila kabila lina ujanja wake lakin lengo linakuwa ni moja.
Unakimbilia wapi sasa?..[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duh!! sikutegemea hili swali.Ww hujachezwa?
Hahahaha..... Inaelekea umechezwa ndio maana swali llimekuwa gumuDuh!! sikutegemea hili swali.
Yeah tena Zanzibar pale Mchambawima.
Wakuu mbona hamjifunzi, huyu mtu ameletwa mara kadhaa hapa,
USHAURI WANGU:
Usitume pesa wala kufanya biashara za Jf au kupatana bila ya kuona bidhaa physically, kama mtu yuko mbali na labda hauna mtu wa kukuhakikishia juu ya uwepo wa bidhaa hiyo USINUNUE haijalishi ni bei rahisi kiasi gani.
Zile ambazo wanavishwa kwenye Makabila ambazo wanaanza kuwavisha wakiwa wachanga si shanga kwa ajili ya mwanaume, jampo zote ni shanga, zile wanawavisha watoto wa kike wakiamini kwamba mtoto atagawanyika vizuri kiunoni, yani ni kama wanamtengeza umbo la kike, shanga ambazo wanakabidhiwa kwa ajili ya mwanaume ni pale anapovunja ungo, akienda kuchezwa kule ndo anakabidhiwa shanga kulingana na mafunzo aliyofuzu kwa lugha nyengine wanaita mizungu,
Yani wakati wa yale mafunzo huwafunza pia jinsi ya kukatika viuono hali yakuwa ana mtu juu, kwa mfano analala chali (kifo cha mende) halaf wale manyakanga mmoja anampandia juu mfano wa mwanaume na chini anawekewa kisaani cha chai kina kaa la moto ina maana atakatika kwenda juu na kurudi chini hagusi chini wakati huo huo anaekewa shanga nyuma ya kichwa chake sasa hapo itategemea na huruma ya manyakanga kama utaekewa chini au nyakanga mwengien atasimama nayo uichukue kwa ulimi, hali yakuwa unakatika ukiipata unahesabiwa ya kwanza.
Unawekwa style nyengine na zoezi ni hilo hilo kuziokota shanga kwahiyo unaweza toka hata na shanga 5 au 6 juua wewe si mchezo, achana na vidada vya sasa mtu anaenda kwa mmasai anavaa tu hata 20 n.k.
wanapatikana wapi hao wamasai na mim natakaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Kuna zile Za wamasai ambao hawazichakachuiii wtu skuizi nao wapo kibiashara
mmmhhhh!!!,unavyomsisitizia sasa.kavae mama kavae tu kavae kavae tena nyingi tu nenda kave vaa haswaaa
Labda awe shoga, jibu ni ndioHii mwanaume anaweza kuvaa pia?
Jamani hivi uvaaji wa shanga ni ushamba wa kizamanii au ndo maraha? Natamani kuzivaa ila naogopa nitaonekana mshamba na nimezinunua tayari.
Ushauri wenu wa bure na sitaki matusi wala dharau kama vepe unaweza uka pita mdogo mdogo[emoji124] [emoji124] [emoji124]