Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mshirikishe kwanza mwenza wako ndo atakupa maoni yaliyo sahihi. Unaweza vaa then akakuona kama Malaya au pengine akavutiwa zaidi.
Ningekuwa mm ningekuambia vaa ila zisizidi tatu na sio kila siku uzivae[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hana mwenza ndiyo mmaana kauliza huku
 
Nilifikiri zinavaliwa mnapokua mnaenda Kwenye shughuli tu kumbe full time.
Utakuta mwingine ameyavaa mengi mpaka kero.
Zinavaliwa mda wa tendo la mahabat... yaezekana ukavaa full day ili kum motivate ur love, Ila sio kila siku lol..!!
 
Back
Top Bottom