Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Ni urembo ndio ila kumbuka hata kula kuna utaratibu ukizidisha wavimbiwa, kunywa pia ukizidisha walewa.
Hata huo urembo ukizidishwa unaleta shida pia.
Utakuta mdada mrembo kama wewe amevaa jinsi limemkaa vizuri na kitop chake akiinama tu unaona burungutu la mashanga yamejisokota sokota kama uchafu. Ila umepangilia moja au mbili za kushika mm kaka yako utakaponitunuku tamuu aah inavutia.
Niliachaga toka hyo cku,kwanza nilikuwa najisahau nasema hii nn,nami njuavyo tatu au mbili ndo nzur
 
Jamani hivi uvaaji wa shanga ni ushamba wa kizamanii au ndo maraha? Natamani kuzivaa ila naogopa nitaonekana mshamba na nimezinunua tayari.

Ushauri wenu wa bure na sitaki matusi wala dharau kama vepe unaweza uka pita mdogo mdogo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ni utamaduni usione soo vaa tu, tena utamaduni mzuri sana ni sawa na chains za gold/silver/bronze ambazo siku hizi zinavaliwa hadi kiunoni
 
watu wanawaza kutinduliwa tu .... hi ni thread ya pili kabla jua halijafika katikati tutatoka kweli.....
Hahahaaa ndio vichwa vya watanzania tulivyo [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Kumbe hata maana yaw shanga nahisi bado hujaijua hili nalo tatizo
 
Utakuwa mchawi ww co bure na kweli hips yangu 48,lkn kwan zinavaliwa kwenye hips nawe nawe bana
Hips zikiwa 48 inch maana yake ni direct proportional na Zigo ,hongera bi mkubwa ,hivyo ukivaa ama kuvua suruali ni lazima upate tabu ndio kuishia kukata shanga
 
Hips zikiwa 48 inch maana yake ni direct proportional na Zigo ,hongera bi mkubwa ,hivyo ukivaa ama kuvua suruali ni lazima upate tabu ndio kuishia kukata shanga
Heeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mh.
Juzi nikiwa na mamsapu wangu aliniuliza "unapenda siku moja nivae shanga kwa ajili yako kama navyo vaaga bkn? "
Ile kumalizia sentence yake nilikua nasisimka balaa.
Nadhani mnaelewa nilichokimaanisha especially @exceptionallady.

Cha kufanya hapo ni kufanya kama alivyofanya wangu kuepuka migongano na mtuwo.
Senkyu justine
 
Back
Top Bottom