Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

araf kiimani (nguvu za giza)
kuvaa shanga kiunoni kunaratibu mambo mengne kabisa
nawashauri wadada wasiwe wanajivalia rangi rangi na idadi isioleweka wanajitengenezea matatizo araf wanakuja wanalalamika
moja ya tatizo ni KUZUIA UJAUZITO kwa mwanamke
 
Prof. Kabudi mtaalam wa Sheria za Ndoa nakumbuka alishawahi zungumzia hili hasa hapo kwenye rangi nyekundu na nyeupe.

[emoji3] dada zetu ni Ngono kunoga unaonja Utakavyo
 
heeeee wadada mpoooooooooooooooooooooooooo????????????? mnayajua haya yanayosemwaaaaaaaaaaaaaaaa au ninyi ni watu wa kizazi cha dijitaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii???? kuna baadhi nimewafunua viuno vyao vimewekeza shanga nyngi kweli kweli hata kutofautisha kuwa rangi fulani inawakilisha neno gani kwa mwanaume hakuna sasa sijui wanavaa kuvutia tu?
 
Huwa hata hawanivutii, yawezekana nina matatizo nazo labda
 
Wanaume hawa wanaobaka mpk wake zao wana muda wa kutafsiri hizo shanga!?
 
Kwani hao wanawake wote walikuwa mabubu hawawezi kusema kwa midomo?

Na wenye flat screen vipi? Kwasababu wao shanga huwa haziwakai zinateremka.
 
Umuulize na wanaovaa shanga zinarangi mbalimbali kwa pamoja unakuta red,blue,green, maloon, kahawia,grey sijui wanmanisha Nini??? Daah
Hahahahahah[emoji23] uyo kavurugwa..chachandu ina raha yake ati
 
Naunga mkono hoja. Ni kweli shanga zilivaliwa pamoja na mambo mengine ilikuwa kwa ajili ya mawasiliano kati ya make na mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…