Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mambo ya kuiga ndo yanatuponza mwishowe tunaiga vyenye maana yake Bila mvaaji kujua maana yake
 
Wamasai ni mila yao. Lakini hawa wa Kiswahili inasemekana ni tangazo la biashara ya tigo. Ila inasemekana kwa biashara hiyo inavaliwa cheni mguu mmoja tu.
 
Kwanza hiyo maana ya kuvaa kikuku ndio nimeiona leo hapa kwa mleta thread

Ila mi nahisi ni moja ya urembo tu
Japokuwa binafsi sijawahi kabisa kufikiria kuvaa kikuku
Asante sana, vp mashost zako wanavaa??, na ulishawai kuwauliza y wanavaa??
 
Kwako anapakuliwa kwangu urembo na maisha yanaendelea
Rubii ndo faida ya elimu hiyo. Kuna siku unaweza toka na mwenye imani hiyo na akaku engeneer huko wanapoita goti halafu ukaenda kumshitaki.

Akajitetea kuwa wewe ndo umevaa alama yenye viashiria na kuwa wewe ni wa hivyo, katika kutafiti ukweli wakakuta yuko sahihi then hakuna mashtaka hapo but umeonja.

Kwa hiyo nawashauri watu kama wewe msi limit mind tafuteni kujua kwani elimu ndo kila kitu, maana hata mashoga wana alama zao. Dunia si salama Rubii
 
Huu kwa wengi ni urembo tu lakini siku hizi MUJINI imeshakuwa eti ni namna bi dada anajitangaza kwamba anacheza miguu yote wa kulia na wa kushoto, jambo ambalo linaweza kuwa halina ukweli wowote ule.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…