Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada



Upuuzi! et akajitetea nimevaa viashiria. Wapi imeandikwa wavaa vikuku waingiliwe nyuma?
 
Reactions: BAK
Upuuzi! et akajitetea nimevaa viashiria. Wapi imeandikwa wavaa vikuku waingiliwe nyuma?
Subili yakukute ndio utajua u kweli wavaaji wa vikuku wote wanaingiliwa nyuma.
Rubi kama unajiheshimu achana na tabia chafu ila kama ndio life style sina cha kusema.
Maisha ya sisi waafrika ni kukariri vitu vya ovyo tu
 
haina maana iyo ni urembo tu mbona WAMASAI ndo mavazi yao paka wanaume wanavaa miguuni nao tutasema wanaliwa tg ??..mtazamo wangu ni urembo tu
 
Wachache sana uwa wanavaa kama urembo tu... % kubwa kuliwa 0713 imo! ... Ukikutana n mtu kavaa ivo nenda kamwangalie machon umkazie macho, akikuonea aibu tu jua co UUP(haliwi), ila akibak nae anakutizama tena bila aibu ujue imoo n ucshangae ukaulizwa dau apo apo... Na ndo njia 1wapo io ya kumgundua anaepgwa nyuma!
 
Subili yakukute ndio utajua u kweli wavaaji wa vikuku wote wanaingiliwa nyuma.
Rubi kama unajiheshimu achana na tabia chafu ila kama ndio life style sina cha kusema.
Maisha ya sisi waafrika ni kukariri vitu vya ovyo tu


Wewe mda nakuona unanichokonoa una matatizo binafsi?
Tabia chafu zangu zinakuhusu nini?
Tufanye ni kweli kila anayevaa analiwa, namimi naliwa unaathirika vipi wewe na uchumi wako??
 
Wengi huvaa kama urembo tu jamani!!! Zamani ilikua inaaminika kua mdada akipaka rangi ya kucha nyeusi ni changudoa... Lakini saivi ni fashion tu.
 
Reactions: BAK
Tusijifiche nyuma ya pazia , kwa wale wanovaa mguu mmoja naweza kusema ni moja ya urembo lakin akivaa yote miwil hio ni dhahir shahiri anafanya mchezo mbaya basi tu society na family zetu za kidhungu zinajifanya kama ni moja ya fashion na kufumbia macho
lakin AAAAAAHHHHH hayanihusu aliwe tigo asiliwe 0713 mwisho wa siku madokta na manesi watamcheka na kumdihaki pale atakapo shindwa sukuma mtoto siku ya uzazi na kwa mwanaume kusafishwa njia ya mkojo kwao itakuwa kitu cha kawaida tuuuuu ....
 
Wanaume wala tg mwisho wanaishia kuziba mkojo na wanawake mwisho wa siku kuzaa ni mgogoro. Laana Jehanamu moto unawasubiri ....[emoji12] [emoji12]
Huyo uliyemweka ndani siku moja akionjeshwa 0713 na house boy[emoji65] ujue kila siku atakuambia nataka "kwenda kumsalimia shangazi"

Unaposema jehanamu inawasubiri ulishafika uko jehanamu ukaonyeshwa list ya watu wanatakiwa huko jehanamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…