Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

mimi sivipendi[emoji23] baadhi ya watu nnaowafahamu wanavaaga najaribu kuwaelekeza wanasema ni urembo tu hakuna lolote.
Ila kuvaa kikuku ni nembo ya umalaya, mguu wa kushoto nyuma ,wa kulia mbele...
akivaa yote anauza pote[emoji23][emoji23].

Halafu zamani walikua wanavaa walioolewa ambao mumewe jogoo hasimami ,kwahiyo akivaa anamaanisha mumewe hawezi kitu yuko tayari kwa mpango wa kando na Bwana karuhusu( mama ndivyo alivosema )
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mmmmmhhh loading........
 
Tell us moreeee
Hii kitu ni urembo tu!!! Ika unatumika sana na wadada wa aina fulani!!! Msichana mstaarabu na anaejielewa na kujitambua ni ngumu kumkuta kavaa kikuku... Vinavaliwa sana na wapenda sexual attention, ila haimaanishi ni wanachama wa tigo. Ukivaa kikuku unajifeel sexy, ata jinsi ya kutembea na kuongea inabadilika....
Kwa mtu kama mimi siwezi ata kukivaa... Yaani ni kama kumwaga sukari chini, obviously sisimizi watakuja tu... Kikuku ni kama sukari, kinavuta wanaume.
 
Hahaaa mkuu ama umefunguka safi sana
 
Salaam wana JF,

Kichwa cha habari chahusika.

Kuna dhana kwamba wadada wanaovaa vikuku wengi wanafanywa nyuma na ukichunguza kwa haraka haraka utaweza kukubaliana na hili kutokana na wavaaji wengi kuwa wale machangudoa na wacheza X (porn movies) ambao wengi wanauza tigo na wale wa kwenye video wanacheza anal sex movies.

Sasa naona wadada wengi wa chuo hasa vyuo vikuu wanavaa sana vikuku; Je, ni kutangaza biashara au? Mana'ke wengi ukiwaangalia tu wamekaa kwa kuliwa liwa tigo. Ni kuiga mambo au ndo wanajidanganya urembo?

Wadada wa chuo kujeni mtuambie.

Don't generalizing everything pal.
 
Ni heri nivae vikuku kuliko kutoboa masikio zaidi ya mara moja na kutoboa pua.

Mtoa mada si kweli hicho usemacho hizo ni imani tu ya baadhi ya watu.
Yeah! Umenikumbusha kitu,... Unajua hata wale wanaotoboa sikio Mara mbili, huwa nawachukulia kama wahuni, na wanaojiuza.. Hivi hii ni mtazamo wangu tu, au napatia
 
Kwa mtazamo wangu,
Nikimuona namchukulia kama pambo lolote mfano:hereni ila kibongo Bongo, baadhi wanatafsir kinyume
 
Mmh. Nionavyo siku zote tangu ianze hii ya kuvaa kikuku maana halisi ya ule uvaaji bado haujapatikana zaidi ya watu kuhisi kwamba anayevaa hivi basi atakuwa anafanya hivi.

Hivyo ni vyema kuachana nao kwa kuwa wanavaa wenyewe na maana ya huo uvaaji wao pia watakuwa nayo wenyewe.
Kabisaa.
 
Salaam wana JF,

Kichwa cha habari chahusika.

Kuna dhana kwamba wadada wanaovaa vikuku wengi wanafanywa nyuma na ukichunguza kwa haraka haraka utaweza kukubaliana na hili kutokana na wavaaji wengi kuwa wale machangudoa na wacheza X (porn movies) ambao wengi wanauza tigo na wale wa kwenye video wanacheza anal sex movies.

Sasa naona wadada wengi wa chuo hasa vyuo vikuu wanavaa sana vikuku; Je, ni kutangaza biashara au? Mana'ke wengi ukiwaangalia tu wamekaa kwa kuliwa liwa tigo. Ni kuiga mambo au ndo wanajidanganya urembo?

Wadada wa chuo kujeni mtuambie.

Hii ni tafsiri yako kuhusu vikuku au una chanzo kingine? Naomba uniwekee hapa chanzo chako ili tujadili.
 
Back
Top Bottom