Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mmmmmhhh loading........
 
Tell us moreeee
Hii kitu ni urembo tu!!! Ika unatumika sana na wadada wa aina fulani!!! Msichana mstaarabu na anaejielewa na kujitambua ni ngumu kumkuta kavaa kikuku... Vinavaliwa sana na wapenda sexual attention, ila haimaanishi ni wanachama wa tigo. Ukivaa kikuku unajifeel sexy, ata jinsi ya kutembea na kuongea inabadilika....
Kwa mtu kama mimi siwezi ata kukivaa... Yaani ni kama kumwaga sukari chini, obviously sisimizi watakuja tu... Kikuku ni kama sukari, kinavuta wanaume.
 
Hahaaa mkuu ama umefunguka safi sana
 

Don't generalizing everything pal.
 
Ni heri nivae vikuku kuliko kutoboa masikio zaidi ya mara moja na kutoboa pua.

Mtoa mada si kweli hicho usemacho hizo ni imani tu ya baadhi ya watu.
Yeah! Umenikumbusha kitu,... Unajua hata wale wanaotoboa sikio Mara mbili, huwa nawachukulia kama wahuni, na wanaojiuza.. Hivi hii ni mtazamo wangu tu, au napatia
 
Kwa mtazamo wangu,
Nikimuona namchukulia kama pambo lolote mfano:hereni ila kibongo Bongo, baadhi wanatafsir kinyume
 
Kabisaa.
 

Hii ni tafsiri yako kuhusu vikuku au una chanzo kingine? Naomba uniwekee hapa chanzo chako ili tujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…