Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Nimekumbuka mwanamama Ritha Mlaki alikua anapenda sana kuvaa vikuku enzi hizo mbunge, kuna baadhi ya wamama ni wastaarabu na wanavaa.
 
Nimekumbuka mwanamama Ritha Mlaki alikua anapenda sana kuvaa vikuku enzi hizo mbunge, kuna baadhi ya wamama ni wastaarabu na wanavaa.
Hapana!!! Mie mama atakaevaa kikuku namtoa kwenye ustaarabu! Hao wabunge wanauvaa tu ustaarabu kwa ajili ya nafasi wanazoshika ila ukienda nyuma ya pazia hawana tofauti na akina Wema Sepetu... Naonaga Mange anavyowafukua mpaka unashangaa!
 
Yeah! Umenikumbusha kitu,... Unajua hata wale wanaotoboa sikio Mara mbili, huwa nawachukulia kama wahuni, na wanaojiuza.. Hivi hii ni mtazamo wangu tu, au napatia
Nadhani ni mtizamo tu tulionao,

yaan kama mimi nikashamuona mdada katoboa pua, ulimi sijui kitovu namuona mhuni na sipendi kweli wakati wengine walaa sio wahuni wamejitoboa kama urembo tu.
 
Hapana!!! Mie mama atakaevaa kikuku namtoa kwenye ustaarabu! Hao wabunge wanauvaa tu ustaarabu kwa ajili ya nafasi wanazoshika ila ukienda nyumba ya pazia hawana tofauti na akina Wema Sepetu... Naonaga Mange anavyowafukua mpaka unashangaa!
Tunarudi pale pale ni mtizamo wako ndiyo unawachukulia hivyo, unataka niambia wote wanaovaa vikuku si wastaarabu?

Ambacho nakiona sio utamaduni wetu ndiyo maana tunachukulia vibaya.
 
So na wamasai wanaovaa kama utamaduni wao hadi wanaume nao ni nini, mtazao wako usitake kila mtu aufuate mie binafsi napenda mwanamke anaye vaa kikuku huleta mvuto ukute katupia na kachachandu kiunoni uwiiiiiiiiiiiiii nakojoaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ila id yako haishangazi na ulichokiandika mkuu , always play boys are like that
 
Kwahiyi ww ulimsikiliza mama alivyokwambia ubaya wa kuvaa vikuku tu?...hakukukataza kufanya tendo la ndoa kabla hujaolewa?
 
Hapana!!! Mie mama atakaevaa kikuku namtoa kwenye ustaarabu! Hao wabunge wanauvaa tu ustaarabu kwa ajili ya nafasi wanazoshika ila ukienda nyumba ya pazia hawana tofauti na akina Wema Sepetu... Naonaga Mange anavyowafukua mpaka unashangaa!
Kwahiyo mange kimambi ndio mtakatifu sana?!
 
Kwan mtu akitoboa sikio zaidi ya mara moja ndio ina maan a gani?!
 
Kama kuna ka ukweli hivi[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Naunga mkono hoja kuwa vikuku ni kiashiria cha awali cha mwanamke Malaya na mliwa goti ..... case study mama ritha mlaki.
 
Hizo tamaduni nyingine za kuiga sio nzuri.
Tuache kuiga tamaduni za watu
Mmasai mwanaume anavaa shanga mpaka kiunoni lakini akivaa Mkurya mtamwita msenge[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ahsante mod[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmmh dunia hii bhanaa... Kweli watu tumeumbwa tofajti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…